Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mnazunguka kupata maana za vikuku siku hizi ni code ya 0713
 
Hivi umeshawahi kujiuliza hili swali.

Ni kwanini ladha na mvuto wa mwanamke wa kiafrika imepungua sana na sio kama zamani? Unalala na mwanamke kitanda kimoja lakini moyo wako wala haushituki.Ni kama vile umelala na msela wako ghetto.Wanawake wa sasahivi wamepoteza mvuto kabisa ni afadhari hata ya picha za kuchora.

Sababu ni nyingi sana lakini sababu mojawapo ni kuwa wanawake wa sasa walio wengi wanaendekeza usasa na kusahau asili ya urembo wa mwanamke wa kiafrika.Zamani ilikua ni mwiko kwa mwanamke wa kiafrika kukosa angalau mikanda miwili au mitatu ya shanga kiunoni.

Lakini wanawake wa sasahivi hawajui lolote kuhusiana na umuhimu wa kua na shanga kiunoni na faida zake.Na wengi wao wanaona ni jambo lilopitwa na wakati na ni ushamba.Na ndomana wengi wao wamepoteza mvuto na wamekua kama visanamu vya kuchonga ambavyo havina stimu yeyote.Wamebaki na kung'ang'ana na mikufu na cheni ambao ni utamaduni wa kimagharibi na kusahau utamaduni wao wa asili ambao ni shanga(chachandu).

Na dhambi hii wanayoitenda itaendelea kuwatafuna na matokeo yake ndio chanzo cha kuharibika kwa mahusiano mengi na kuvunjika kwa ndoa nyingi sana.Lakini kwasababu ndio wanawake wetu na ndio mtihani tuliopewa na Mungu hakuna njinsi.Ngoja niwamegee kidogo unyago huu pengine wanaweza kubadilika.

Kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongeza mvuto sio tu kwa wanaume ila hata kwa wanawake pia.Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga haijalishi kama ni barabarani au ndani ya daladala lazima dushe zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda (kama wewe ni mwanaume lijari lakini)

Shanga zinaongeza hisia kwa mwanaume.Ni raha ilioje kupeana raha na utamu na mwanamke alievaa shanga.Mwanamke alievaa shanga anavutia zaidi kupapasa shanga zake wakati wa kupashana joto.Utafiti unaonesha kua mwanamke anaweza kufika kileleni kwa kumchezea tu shanga zake za kiunoni.

Shanga zinaongeza msisimko katika swala zima la mapenzi haswa ukipata mwanaume anaejua kuzitumia.Lakini wanaume wa sasa wengi wao hawana utaalamu wowote wa kucheza na shanga kwasababu wengi wa wapenzi/wake zao hawavai.

Rangi za shanga pia zina maana yake.Kwa mfano mwanamke akivaa shanga za rangi nyekundu maana yake ni kua mazingira hayaruhusu.Rangi nyeupe maana yake mazingira ni mazuri unaweza kuendelea na mambo mengine.Na rangi nyeusi maana yake mazingira ni mazuri ila uwanja haujafyekwa.Kwahiyo shanga peke yake ilikua lugha tosha ya kuwasiliana kati ya mwanamke na mwanaume.

Mwanamke wa kiafrika anapendeza na kua na mvuto zaidi akijipamba na mapambo ya asili ya kiafrika. Kwahiyo wito wangu kwenu naomba tubadilike na tusidharau asili ya urembo wa mwanamke wa kiafrika ili tuweze kuimarisha mahusiano yetu.Kwasababu mkataa asili ni mtumwa.
 

Attachments

  • chachandu1.jpg
    chachandu1.jpg
    29.2 KB · Views: 2,329
  • chachandu2.jpg
    chachandu2.jpg
    6.1 KB · Views: 3,173
  • chachandu3.jpg
    chachandu3.jpg
    9.9 KB · Views: 5,384
  • chachandu4.jpg
    chachandu4.jpg
    8 KB · Views: 2,953
Dah hii post naisoma nipo kwenye daladala, naona noma ki scroll chini kuna picha za shanga, abiria wananichora. Nikifika ghetto naicopy link namtumia mama totoo.
 
Unaijua kazi ya shanga lakini au basi tu? Kama unajua nipe kazi 5 za shanga kwenye uwanja wa fundi seremala ndo nitajua yaliyomo yamo au hayamo.
 
Unaijua kazi ya shanga lakini au basi tu? Kama unajua nipe kazi 5 za shanga kwenye uwanja wa fundi seremala ndo nitajua yaliyomo yamo au hayamo.

Sio Mahali Pake.Ntafute Kwenye Pm Nikupandishe Kileleni Juu Kwa Juu
 
Unaijua kazi ya shanga lakini au basi tu? Kama unajua nipe kazi 5 za shanga kwenye uwanja wa fundi seremala ndo nitajua yaliyomo yamo au hayamo.

Nakuapia huyu kijana kama ana muda tokea abalehe hafiki miaka mitatu....hawa tunawaita broiler wa week mbili!
 
Shanga kwa sisi wazee haikua tu urembo bali ilitumika kutoa taarifa za mabadiliko ya kimwili kwa mwanamke kama rangi nyekundu ilitumika kuonesha kua manzii iko kwa siku zake au Bibi analia, na rangi nyengine zilitumika kuonesha kua mwanamke amemaliza siku zake hivo unaeza kuendelea na mchezo kwa raha mustareheeee
 
Wote katika wote huyo aw tatu mwenye pichu nyeupe ndo mwafrika halisi. Wengine Ootee ngalewa.
 
Back
Top Bottom