TamimuAlly
New Member
- Apr 23, 2015
- 2
- 0
Cheni inavutia sana isiwe chachandu,wanaovaa vikuku miguuni ndo malaya
Sikubaliani nawewe kwamba ukivaa kikuku ni umalaya.
Japo mimi sina swaga hizo, ila kuna wanawake wanavaa kama urembo na wanajiheshimu.
Kuvaa kikukuu Ina maanisha kutoa 0714
Kuvaa kikukuu Ina maanisha kutoa 0714
Wala si kweli acha kupotosha wenzako....ina maana wamasai wote wanatoa tigo???
Tofautisha ya kimila na ya kuiga
wanaiga urembo sasa maana waliowaiga hawakuvaa kutoa tigo