Umetisha kaka. Kila mtu na uchizi wake japo Moshi hakunaga hayo mambo. Mchaga hanaga mbwembwe kbs
Pole mkuu,huo unaousema uchafu wenzio unatusisimua na kuifanya mechi kunoga. Huo unaouita uchafu sisi tunachukulia sawa na mashabiki washangiliao uwanjani wakati wa mechi.Uchafu tu
Wakuu habari zenu,
Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU, jamani mimi pindi nizionapo shanga zikiwa zimevaliwa kiunoni (aidha na mabinti au wanawake) hujisikia burdani sana maana huwa nahisi msisimko wa ajabu na mapigo ya moyo huenda kasi na hata kama nitakuwa na msongo wa mawazo basi nikiziona tu stress kushineh. Wanawake vaeni shanga jamani mtusisimue wapenda shanga na sio mwanamke unakuwa na kiuno cheupe kama changu loh.
sina mwayaa, napitwa tuu
kumbe zina matumizi pia.......We unaependa kuziona,kuzitumia unaweza?!
sasa ili uenjoy zaidi nunua uvae mwenyewe kwa kiuno chako
raha ya shanga ukivaaa kiuno ujue kukata
kati ya hiz za kawaida na gold/silver ipi inakuvutia or nyegggesha?
Ebu tujuze kwenu umasai huko ninyi mkivaa kunaishara gani na kwashanga zip
Hahaha, hapana,nlkuwa namuuliza tu....
Ok,ila hawajawahi kukufunza matumizi ya shanga kwa ishara labda! Wanzuko wenyu
sijawahi kufundishwa
mi nadhani nachojua ni kimoja tu so far ukiolewa lazima uwe nazo
hhahhah matumizi sijui ila kwa kiswahili kidogoo nasikiaga wadau wakisema ukivaa shanga ujue kukata
Haahaha du, kukatika tena