mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Umetisha kaka. Kila mtu na uchizi wake japo Moshi hakunaga hayo mambo. Mchaga hanaga mbwembwe kbs
Mkuu wachaga wakifika huku (Dar) wanabadilika,vigodoro wao,shanga wanavaa na hata taarabu wanaenda.