Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hio kitu mie hunisisimua vibaya...Hebu Zinduna, Munkari....ni pm pics ya hizo shanga hasa za kiunoni...
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1410416062206.jpg
    1410416062206.jpg
    27.6 KB · Views: 1,706
naona topic za kutiana nyege zimepamba moto sana humu........

haya nyie endeleeni tu...........
 
Huku kwetu ukivaa hivo vicheni na.vikuku maana ake unauza 0713.....
Tena muguu yote maana ake halis unatoa kote kote ukivaa mmoja pekee unatoa nyuma pekee
 
Huku kwetu ukivaa hivo vicheni na.vikuku maana ake unauza 0713.....
Tena muguu yote maana ake halis unatoa kote kote ukivaa mmoja pekee unatoa nyuma pekee

Hahahah....mi kwa kweli watu wanaovaa cheni mguuni daah sijui huwa nawaonaje
 
Kuna mama mmoja ameteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu kabla ya hawa wa juzi yeye alikuwa anavaa hivi vikuku; sijui kama bado anavivaa huko mahakamani Mwanza!!!
 
Hadi ww mtoto wa kitanga....mbona nasikia ninyi kwa kujipamba ndio wenyewe

Unajua nin kujipamba nako n.kipaji halaf n.hulka ya mtu binafs siwez vaa vitu vya mikononi mguun kwanza ni utira huo halaf tafsir inakua tofaut majishangingi ya mji na baadh ya manyakanga ndo zao hizp.sio kwa wote binafs sifany hiv vitu
 
ki-stereotype: kama kavaa miguu miwili ni kuonyesha kwamba hata mlango wa nyuma uko waz.... (wengi husema hivyo)
 
African-Ankle-Bracelet-1024x665.jpg


Suala la urembo kwa sisi wanawake linjumuisha mambo mengi sana kuanzia mavazi na hereni, vishaufu bangili vidani na makochokocho mengine.

Siku za karibuni kumeibuka mtindo wa wanawake kuvaa vikuku yaani cheni za miguuni. jambo hilo limekuwa likipigiwa kelele na baadhi ya watu wenye mrengo tofauti wakihusisha jambo hilo na tabia zisizofaa.

Lakini cha kushangaza nimewahi kuona baadhi ya wabunge wanawake na viongozi wa kike serikalini tena wenye mamlaka makubwa wakiwa wamevaa vikuku tena wengine walipata hata fursa ya kupiga picha na mkuu wetu na vikuku vyao.

Ninachofahamu mimi, bungeni ni mahali ambapo mavazi yanazingatiwa sana, na ninaamini wengi wetu tumewahi kushuhudia baadhi wabunge wakitolewa nje kwa sababu ya mavazi yao kuonekana kwenda kinyume na matakwa ya bunge, lakini pamoja na jamii huku nje kuwahukumu wanawake wanaovaa vikuku kama watu waliopotoka kimaadili, lakini kwenye eneo hilo la bunge inaonekana jambo hilo limepewa Baraka.

Sasa kwa kuwa suala la urembo kwa wanawake linaenda na wakati, hivi sasa tumerudi Kiafrika Zaidi, na sasa urembo wa shanga umechukua nafasi. licha ya shanga kutumika kama chachandu ya kunogesha mapenzi kwa kuvaliwa kiunoni na wanawake, lakini kwa miaka mingi urembo wa shanga umekuwa ukitumiwa na waafrika wake kwa waume katika kujipamba.

Mfano mzuri ni kwa Wamasai ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakijipamba kwa shanga wake kwa waume na wamekuwa wakipendeza haswa.






Sasa miye hivi karibuni nimeamua kujipamba Kiafrika Zaidi kwa kutupia urembo wa shanga mwilini kiunoni hadi mguuni.

Sasa sijui wenzangu mtanionaje?


CC:
miss chagga, miss neddy, miss strong, Karucee, MankaM, DEMBA, Munkari, tinna cute, Tina, Paloma, sister, Ennie, Arabela, Preta, farkhina, Asprin, Mentor, watu8, charminglady, mwekundu, Fixed Point, Ruttashobolwa utafiti, Tyta, Kaunga, Neylu[/

binafsi siwezi kuvaa vikuku
 
mashoga nao wanavaaga hayo makuku cjui mabata hata sijui ila ni watoa tgo tu hakuna kingne.
 
Back
Top Bottom