Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

DSC_0690_src.jpg

polkadot.jpg

Hivi hawa warembo hivi vikukuu vinaweza kuleta mtizamo na maana tofauti kwa jamii?
...Dah! wadada wanaonekana hot sana jamani..mhhhhh!!!:A S 8::A S 8::A S 8:
 
Kwa sisi wazoefu tuna angalia mguu upi umevaa.
Ukivaa mguu flani najua ni full kujiexpress wala sina haja ya kuuliza nikuzama tu kwenye tope

Duuh kumbe Fidel80 asante
haya nambie mguu upi halali kuvaa kikuku
 
Mie naona ni urembo wa kawaida tuu mbona hata mie navaa:A S 8::A S 8:
Mama msaada kwani inamaanisha kitu kibaya???

DADA POLE SANA KWA MIMI NAJUA KUWA BIASHARA NI MATANGAZO PIA UTAMU WA SODA PALE INAPOISHIA
POLE UREMBO GANI UNAOTIA MASHAKA KWA JAMII.
cONQUEST-SIJAONA VISHETI VYA NAMBA NANE VYA AZAM
 
Si hivyo. Ila inaelekea kuna juhudi za makusudi kwa baadhi ya kina mama za kuboresha mionekano na hata miondoko. Hali hiyo inaongeza attention na kumfanya mwanamke awe target ya mafataki. Mimi ninapendelea unadhifu lakini si ule wa

hahahaha me naboresha muonekano kwa my husband si kwa mwingine teteteteteh pamoja tutashinda :becky:
Jitahidi Mama. Lakini kauli za hii hot; Mara matangazo ya Biashara ... Si unaona jinsi watu walivyo na tafsiri tofauti. Sasa hapo unaweza kujikuta katika mazingira ya tafsiri isiyokuhusu lakini kwa vile umevaa Vikukuu basi na wewe unaingizwa mkumbo wa wanaohamasisha .... Sasa hapo unaweza kuwa victim wa Mistaken identity. Kila la Kheri.:lol:
 
mimi FL nilikuwa nikivaa pete kwenye kidole cha mguu ........lakini nikaona akina 'mama watu wazima' wananitizama kwa mtazamo mbaya. Kosa liko wapi hapo?
 
vikuku maana yake ni demu anatoa tigo. let's b short, precise n clear.
 
http://4.bp.blogspot.com/_4bjQHrg8PCg/S_qGzQzqvCI/AAAAAAAABR4/KZ3XNA4FrAc/s640/polkadot.jpg[/img]
QUOTE]

Dah FL1 umependeza kweli. Awali nilidhani utakuwa jimama kumbe umo. Wallahi leo macho yangu yamepata mlo safi. Lol!!!!
 
kwa sasa ni fashion tu ila nasikia eti asili yake ni huko india na huko vina maana fulani sasa cjui kama ni kwelia u hadithi tu lkn hata mie navaa tu kama urembo.

Safi sana apo:A S 8: sijakosea kabisa kuchagua
 
mimi FL nilikuwa nikivaa pete kwenye kidole cha mguu ........lakini nikaona akina 'mama watu wazima' wananitizama kwa mtazamo mbaya. Kosa liko wapi hapo?

Unaonekana hujatulia una tabia mbaya
Mwanamke anae jiheshimu hawezi vaa pete kwenye kidole cha mguuni
 
Ndahani mie hata sijui ndo nasubiri kina Wos waje watujuze bwana nisijejikuta nafanya sivyo ndivyo

FL1 nikuambie kitu? we vaa...achana na maneno ya watu..as much as unapendeza wewe na mzee wa kaya anafurahia., wataka kuendekeza maneno ya binadamu? wengine hawana lolote wivu tu kisa miguu yao hailipi kuvalia kikuku....jimwage zako kwa raha zako
 
Jamani vikuku ni urembo kama ilivyo hereni, bangili, pete nk havinaubaya wowote kwa mtazamo wangu
 
yaani wewe siendelei zaidi
 
Jamani vikuku ni urembo kama ilivyo hereni, bangili, pete nk havinaubaya wowote kwa mtazamo wangu

Vikuku kwa kibongo bongo haswaa ukivaa upande flani inaonyesha unajidawasco huna haja ya kuuliza
 
Back
Top Bottom