Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
...Dah! wadada wanaonekana hot sana jamani..mhhhhh!!!:A S 8::A S 8::A S 8:![]()
![]()
Hivi hawa warembo hivi vikukuu vinaweza kuleta mtizamo na maana tofauti kwa jamii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Dah! wadada wanaonekana hot sana jamani..mhhhhh!!!:A S 8::A S 8::A S 8:![]()
![]()
Hivi hawa warembo hivi vikukuu vinaweza kuleta mtizamo na maana tofauti kwa jamii?
Kwa sisi wazoefu tuna angalia mguu upi umevaa.
Ukivaa mguu flani najua ni full kujiexpress wala sina haja ya kuuliza nikuzama tu kwenye tope
Ndahani mie hata sijui ndo nasubiri kina Wos waje watujuze bwana nisijejikuta nafanya sivyo ndivyoNani mtaalamu zaidi ya wewe Mama Salma? Tupe elimu basi
Mie naona ni urembo wa kawaida tuu mbona hata mie navaa:A S 8::A S 8:
Mama msaada kwani inamaanisha kitu kibaya???
Sasa kama inamaana kuliwa tiGo je huyu miguu yote??inamaa na msumari kotekote??![]()
huyu hajavaa vikuku,hizi ni gladiator sandal.
Jitahidi Mama. Lakini kauli za hii hot; Mara matangazo ya Biashara ... Si unaona jinsi watu walivyo na tafsiri tofauti. Sasa hapo unaweza kujikuta katika mazingira ya tafsiri isiyokuhusu lakini kwa vile umevaa Vikukuu basi na wewe unaingizwa mkumbo wa wanaohamasisha .... Sasa hapo unaweza kuwa victim wa Mistaken identity. Kila la Kheri.:lol:Si hivyo. Ila inaelekea kuna juhudi za makusudi kwa baadhi ya kina mama za kuboresha mionekano na hata miondoko. Hali hiyo inaongeza attention na kumfanya mwanamke awe target ya mafataki. Mimi ninapendelea unadhifu lakini si ule wa
hahahaha me naboresha muonekano kwa my husband si kwa mwingine teteteteteh pamoja tutashinda :becky:
![]()
Hivi hawa warembo hivi vikukuu vinaweza kuleta mtizamo na maana tofauti kwa jamii?
http://4.bp.blogspot.com/_4bjQHrg8PCg/S_qGzQzqvCI/AAAAAAAABR4/KZ3XNA4FrAc/s640/polkadot.jpg[/img]
QUOTE]
Dah FL1 umependeza kweli. Awali nilidhani utakuwa jimama kumbe umo. Wallahi leo macho yangu yamepata mlo safi. Lol!!!!
kwa sasa ni fashion tu ila nasikia eti asili yake ni huko india na huko vina maana fulani sasa cjui kama ni kwelia u hadithi tu lkn hata mie navaa tu kama urembo.
mimi FL nilikuwa nikivaa pete kwenye kidole cha mguu ........lakini nikaona akina 'mama watu wazima' wananitizama kwa mtazamo mbaya. Kosa liko wapi hapo?
Ndahani mie hata sijui ndo nasubiri kina Wos waje watujuze bwana nisijejikuta nafanya sivyo ndivyo
FL1 nikuambie kitu? we vaa...achana na maneno ya watu..as much as unapendeza wewe na mzee wa kaya anafurahia., wataka kuendekeza maneno ya binadamu? wengine hawana lolote wivu tu kisa miguu yao hailipi kuvalia kikuku....jimwage zako kwa raha zako
Jamani vikuku ni urembo kama ilivyo hereni, bangili, pete nk havinaubaya wowote kwa mtazamo wangu
http://4.bp.blogspot.com/_4bjQHrg8PCg/S_qGzQzqvCI/AAAAAAAABR4/KZ3XNA4FrAc/s640/polkadot.jpg[/img]
QUOTE]
Dah FL1 umependeza kweli. Awali nilidhani utakuwa jimama kumbe umo. Wallahi leo macho yangu yamepata mlo safi. Lol!!!!
ha ha ha ha No comment
Yasemekana ina maana ya kuliwa tiGO:lol: