UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,530
- 1,370
Me nakapenda kale wanakovaa mguuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari zenu,msema kweli ni mpenzi wa MUNGU,jamani mimi pindi nizionapo shanga zikiwa zimevaliwa kiunoni (aidha na mabinti au wanawake) hujisikia burdani sana maana huwa nahisi msisimko wa ajabu na mapigo ya moyo huenda kasi na hata kama nitakuwa na msongo wa mawazo basi nikiziona tu stress kushineh.
Wanawake vaeni shanga jamani mtusisimue wapenda shanga na sio mwanamke unakuwa na kiuno cheupe kama changu loh.
Mkuu ninachokifahamu mm ni kuzishikashika na kuzihesabu, kama kuna matumizi mengine nijulishe ikiwezekana kwa kuni pm.We unaependa kuziona,kuzitumia unaweza?!
Wenyewe wanaita sijui kikuku.Me nakapenda kale wanakovaa mguuni
Hapana mkuu,kupenda kitu si lazima uwe kabila fulani.Mie ndo kabisaa demu wangu nikukuta kazivaa, c fanyi nae sex mpaka azivue loooh! Utakuwa msukuma ww et!???
Tena uzikute ni zile ndogo ndogo za kung'aa mbona macho yatafurahi!Ukute basi rangi zake zmepangiliwa kuendana na rangi ya mvaaji na sio vulu vulu mpaka inakuwa kama uchafu. Fahari ya macho
waistbeads🙂:what:
Kweli kabisa mkuu,mimi penda sana zile coz zinasisimua sana!Shangaaaa aka chachandu zina raha yake
Umetisha kaka. Kila mtu na uchizi wake japo Moshi hakunaga hayo mambo. Mchaga hanaga mbwembwe kbsMfano nikiwa kwa daladala huwa napenda kukaa siti za katikati huku nikiomba abiria atakayekaa mbele yangu awe mwanamke. Ikitokea ikawa hivyo halafu nikaziona basi safari yangu huwa njema sana na muda mwingine huwa napitiliza kituo. Nakuwaga kama zuzu fulani hivi loh.
Mfano nikiwa kwa daladala huwa napenda kukaa siti za katikati huku nikiomba abiria atakayekaa mbele yangu awe mwanamke. Ikitokea ikawa hivyo halafu nikaziona basi safari yangu huwa njema sana na muda mwingine huwa napitiliza kituo. Nakuwaga kama zuzu fulani hivi loh.
Mkuu unazo?jamani mmetishaaaa
Mkuu ni fahari ya macho,husisimua sana hasa ukizipenda.Pia hata ule muda wa mapumziko unaweza kuutumia kuzihesabu,kupapasa n.k.shanga zinatumiwaje na mwanaume?
Au ukute ndio kainama anaweka kiatu sawa,basi mimi nikiona hali hiyo tu fasta macho nayakimbizia kwa kiuno mara hizo zaonekana tena kwa mbaali. Halafu huwa natamani nione mimi tu.Hahahaha halafu ukute mwanamke anainama inama hivi kubofya simu au pozi tu uwiiiiiiii ule mfereji wa maji taka + shanga dah.
Mkuu unazo?