Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Wakuu habari zenu,msema kweli ni mpenzi wa MUNGU,jamani mimi pindi nizionapo shanga zikiwa zimevaliwa kiunoni (aidha na mabinti au wanawake) hujisikia burdani sana maana huwa nahisi msisimko wa ajabu na mapigo ya moyo huenda kasi na hata kama nitakuwa na msongo wa mawazo basi nikiziona tu stress kushineh.

Wanawake vaeni shanga jamani mtusisimue wapenda shanga na sio mwanamke unakuwa na kiuno cheupe kama changu loh.

Mie ndo kabisaa demu wangu nikukuta kazivaa, c fanyi nae sex mpaka azivue loooh! Utakuwa msukuma ww et!???
 
Ukute basi rangi zake zmepangiliwa kuendana na rangi ya mvaaji na sio vulu vulu mpaka inakuwa kama uchafu. Fahari ya macho
 
Tena uzikute ni zile ndogo ndogo za kung'aa mbona macho yatafurahi!
 
Mfano nikiwa kwa daladala huwa napenda kukaa siti za katikati huku nikiomba abiria atakayekaa mbele yangu awe mwanamke. Ikitokea ikawa hivyo halafu nikaziona basi safari yangu huwa njema sana na muda mwingine huwa napitiliza kituo. Nakuwaga kama zuzu fulani hivi loh.
 
Umetisha kaka. Kila mtu na uchizi wake japo Moshi hakunaga hayo mambo. Mchaga hanaga mbwembwe kbs
 
Mfano nikiwa kwa daladala huwa napenda kukaa siti za katikati huku nikiomba abiria atakayekaa mbele yangu awe mwanamke. Ikitokea ikawa hivyo halafu nikaziona basi safari yangu huwa njema sana na muda mwingine huwa napitiliza kituo. Nakuwaga kama zuzu fulani hivi loh.

Hahahaha halafu ukute mwanamke anainama inama hivi kubofya simu au pozi tu uwiiiiiiii ule mfereji wa maji taka + shanga dah.
 
shanga zinatumiwaje na mwanaume?
Mkuu ni fahari ya macho,husisimua sana hasa ukizipenda.Pia hata ule muda wa mapumziko unaweza kuutumia kuzihesabu,kupapasa n.k.

Kwa wanawake watakuja wenyewe kusema matumizi yao kulingana na rangi zake.
 
Hahahaha halafu ukute mwanamke anainama inama hivi kubofya simu au pozi tu uwiiiiiiii ule mfereji wa maji taka + shanga dah.
Au ukute ndio kainama anaweka kiatu sawa,basi mimi nikiona hali hiyo tu fasta macho nayakimbizia kwa kiuno mara hizo zaonekana tena kwa mbaali. Halafu huwa natamani nione mimi tu.
 
Back
Top Bottom