Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Tayali wajanja wameshatoboa ozone layer, so jiandae na Cabon dioxide
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okay... itabidi nizoee sasa.
pole sana ...umechanganywa na mabadiliko...mwambie asivae tena....
...kibaya zaidi hizo pictures anazo post zinaonesha yupo comfortable kabisa mahali anakopita.. so sad!!!
Labda anatangaza biashara kwa wanaokusaidia kum'bembea!
Lakini kwa Baadhi ya Wanawake Huo Ni Urembo na Haumaanishi Hilo ambalo umeliwaza Mkuu... Mbona Humu ndani Kuna Wadada Wengi wanavaa na Hawapo katika Hicho unachowaza?
Tayali wajanja wameshatoboa ozone layer, so jiandae na Cabon dioxide
Salaam kwenu wanaJF wote popote mlipo. Amani iwe NANYI.
Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.
Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.
Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' mguuni.
Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "...mbona kawaida tu,..
NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.
Mtafute ukague hiko unachohisi tofauti.
Kama hayupo hivyo unavyowaza mpige marufuku asivae tena.