Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Aisee mke wangu hawezi kuvaa huu ujinga ,na akizingua nitamkata miguu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona simple tu! Kwan kuku njia ya kutolea yai na si ndo njia hiyo hiyo ya haja kubwa..hiyo dhana ilete kwa mwanamke anaevaa shanga Za miguuni...ambazo pwani sisi tuna kikuku..utapata kujua maanaWanajamvi siku za karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la akina dada kuvaa kikuku au vikuku miguuni (vingi vya ushanga au gold ya kiingereza). naomba mnijuze maana halisi ya urembo huu. Nasikia maana hutofautiana kutokana na mguu uliovalishwa huu urembo. wataalam msaada tafadhali
Wewe ni dume unazingua watu tu.Navaa miguu yote
Yap mie ni mwanaume sema nene napenda madem wanao vaa vikukuWewe ni dume unazingua watu tu.
Wakivaa miguuni na kiuoni pia wanavaaNavaa miguu yote
Sio kweli. Ni urembo tuHakuna kitu ka hicho.
Iko hivi... Demu akivaa kikuku, anamaanisha yeye ni mtu wa aina Fulani kingono,
Akivaa mguu wa kulia.. Anajiuza/Kahaba
Akivaa mguu wa kushoto.. Anafirwa (though anaweza akawa hajiuzi)
Akivaa yote.. Anajiuza na kutiwa nyuma.
Ndo haswa nataka kufahamu kama walikua wanajua hayo au ndo mafashooono...Umuulize na wanaovaa shanga zinarangi mbalimbali kwa pamoja unakuta red,blue,green, maloon, kahawia,grey sijui wanmanisha Nini??? Daah
kwani kiuna chako unawekaga nini? hahahamhmhmhmh ngoja wenyewe viuno vya shanga waje
ID na AVATAR mbona kama haziendani? 🙁mhhh
Neno lako ni US babyHmm....sina la zaidi hapo.