Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mmmh,sifikirii kwa kweli,kwani mimi huo mtandao situmii.ila kwangu mimi ni urembo.na ninapovaa hainijii akilini kama nichague mguu upi wa kuvaa,maybe zamani ilikuwa hivyo,lakini siku hizi sifikirii kama watu wanatafsiri hivyo.labda story za vijiweni hizo.maofisini watu wanavaa ni watu na heshima zao

Kwani watu wakikubeep TIGO unakuwa siyo mtu wa HESHIMA???!!!!!
 
Kuvaa kikuku mguuni ni utamaduni wa INDIA. Msichana wa India huvaa kikuku mguuni kuashiria kuwa AMECHUMBIWA na HATAKI MWANAUME AMSUMBUE (tofauti na mchumba wake). Kwa India kikuku ni heshima kubwa kwa Msichana. Ila Bongo mmhh.. MAIGIZO TU.
 
Hivi inamaanisha mtu atajitangaza kuwa anatumia hiyo line ya Tigo, halafu iweje? Hata kama mtu anatumia hiyo line sidhani kama ataweka hadharani kwa kila mtu, kwa hiyo wengi wanavaa kwa urembo tu.
 
Engager nina mashaka na ulichosema! Ni dhahili wamba mtu hutembea na utamaduni wake, japokua hatujafika india, ila hapa kwetu wapo wahindi wengi, na wana practice tamadui zao! Mbona hatuoni vikuku? Hilo lazma litakua neno.... Kikuku kiaitwaje kwa kidhungu tugoogle hapa tutapata majibu.
 
sikujua kuwa bado tuna jamii ya watu walio na hisia za kijinga hadi leo,ni urembo toka enzi za kina cleopatra na wengineo!
 
An anklet, ankle chain, or ankle bracelet is an ornament worn around the ankle. Barefoot anklets and toe rings historically have been worn for centuries by girls and women in Egypt and Arab world especially in Bedouin and countryside and married women in India, though in the United States both casual and more formal anklets became fashionable in the late twentieth century.

While in western popular culture both younger men and women may wear casual leather anklets, they are popular among barefoot women. Formal anklets (silver, gold, beads) are common women's fashion jewelry. Anklets are an important jewellery in Indian marriages worn along with saris.

Left or right?

In India, anklets are worn on both ankles. However, outside India most anklets seem to be worn on the right ankle. Perhaps this is due to more people being right-handed. Although in eastern cultures, anklets are worn on both ankles. Worn on the right ankle it may indicate a "hotwife" or cuckold's wife, though this is not universal by any means. But a woman at work told us she only wears it on the right due to obvious reasons - but we must be stupid because we obviously couldnt figure it out.
 
Good thanx
 
Hivi inamaanisha mtu atajitangaza kuwa anatumia hiyo line ya Tigo, halafu iweje? Hata kama mtu anatumia hiyo line sidhani kama ataweka hadharani kwa kila mtu, kwa hiyo wengi wanavaa kwa urembo tu.

labda wanasema biashara ni matangazo.
Vitega uchumi vipo vingi now days,usipotantaza watajuaje?
 
mmmh,sifikirii kwa kweli,kwani mimi huo mtandao situmii.ila kwangu mimi ni urembo.na ninapovaa hainijii akilini kama nichague mguu upi wa kuvaa,maybe zamani ilikuwa hivyo,lakini siku hizi sifikirii kama watu wanatafsiri hivyo.labda story za vijiweni hizo.maofisini watu wanavaa ni watu na heshima zao

Waeleze hawa watu maana wamezidi na ushamba wao.Kama wanawake zao wakivaa wanatangaza upuuzi huo siyo kila mwanamke.

Ujinga mtupu.Mada hii inaletwa hapa sijui mara ya ngapi! Angalieni mada zilizopita mjue yaliyojadiliwa msitupotezee muda kujaza mabandiko yasiyo na tija.

Mods pls do what needs to be done.Unganisheni hii kuleeeee.
 
bora umeona,hii mada imeshakuwepo sana hapa jamani na ilijadiliwa kwa kina
 
Engager nina mashaka na ulichosema! Ni dhahili wamba mtu hutembea na utamaduni wake, japokua hatujafika india, ila hapa kwetu wapo wahindi wengi, na wana practice tamadui zao! Mbona hatuoni vikuku? Hilo lazma litakua neno.... Kikuku kiaitwaje kwa kidhungu tugoogle hapa tutapata majibu.

Asilimia kubwa ya wahindi 2lio nao hapa Tz wameolewa tayari, vikuku ni useless tena kwao. Wasioolewa hawavai kma hawana wachumba. Ila wenye wachumba lazma utawaona wamevivaa tu. Try to investigate utaona.
Andika Kikuku google will search.
 
si fikra nzuri kuhisi tofauti na urembo ila ikiwa ni mkeo unaweza mshauri atumie namna nyingine ya urembo ili isikukwaze. kama ni girlfriend tu natumaini ungeshindwana nae kitabia ngama angetumia kwa maana tofauti, nasema hv nikiwa na maana kuwa atawatangazia wangapi? maana havai akiwa chumbani tu. ni vyema kuachana na mawazo yoyote tofauti ambayo yanaweza leta tafrani ktk mahusiano yenu sababu huenda kesho akama mkeo
 
we ulitaka akujibu nini??? si ulishamuuliza akakujibu?? kikuku ni urembo kama aina nyingine za urembo kama kipini, bangili na ear ring
unajua kila urembo una asili yake so urembo wa vipini na vikuku asili yake hasa ni kutoka bara la asia especially wahindi so haina maana nyingine zaidi ya urembo mi mume wangu anapenda sana urembo wa vikuku na huwa ananinunulia aina mbalimbali ya vikuku
Habari wana jamvi?
Mimi niko na demu wangu kwa miaka miwili sasa.
Hatuna tatizo la kimahusiano,ila kitu nataka mnisaidie ni maana halisi ya kuvaa kikuku miguuni.
Kwani tukiwa ktk mitoko flani flani huwa anapenda kuvaa,nikimwuliza kwanin anavaa anasema ni urembo tu kwa wakinadada,
jibu hilo huwa haliniridhishi kwani nikiwauliza washikaji wanadai kuvaa kikuku mguu mmoja au miwili yote inamaana yake ambayo cyo nzuri ktk jamii iliyo staharabika.
Sasa wana jf wadada kwa wakaka naombeni ukweli wa hii kitu,ili nimpe ban huyu mtu wangu kuvaa hivyo vikuku au la.
Mbarikiwe wote.
 
ni tamaduni za watu na watu hata africa wapo wenye hizo tamaduni wamasai huvaa shanga za miguu wanawake kwa wanaume, na wahindi pia wana asili hyo ya vikuku na its just urembo nothing else..hayo ni mawazo mgando ya wale wavivu wa kufikiria vitu
 
yap gagaperfect true wazungu hawana kabisa hyo asili ya vikuku ni wa africa na wahindi ndo wenyewe haswa ila kuna watu wanahisi kila kitu tunaiga kwa wazungu,, wamasai wanawavisha hadi watoto na wababa pia wanavaa
Urembo tu ina maanawamasai nao wanatumua mtandao? wala usihofu siku hizi ni vitu vya kawaida ni sidhani kama tunaiga wazungu ni sisi wenyewe. embu niambie umewaona wazungu wangapi na hivyo vikuku? huu ni utamaduni wa kiafrika ila siku hizi kama una uwezo unachonga za gold. ila ilikuwa ni shanga zaidi
 
Ni urembo tu mkaka, hata mimi napenda sana kuvaa kikuku sema sijawahi kuvaa so nahofia watu wanaweza nitafsiri vibaya wakiniona ghafla naanza kuvaa ila honestly napenda vikukuku
 
Back
Top Bottom