Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Ndugu zangu tutazunguka lakini ukweli uko pale pale wanaovaa wengi ni machangudoa au wanatoa ule mtangao wa ucku, kama upo dar pita kinondoni, joly, kona, buguruni nk kwa wale wanaojiuza lazma atakuwa amevaa hata hao wanaovaa maofisini ndio wanatangaza biashara, ukiwaona na wapenda hyo huduma we lipia tu kajihudumie hamna longolongo!
 
naombeni ukweli wa hii kitu,ili nimpe ban huyu mtu wangu kuvaa hivyo vikuku au la.
.

hivi wakati unamwambia yale maneno ya awali alikuwa havai hivyo vikuku?
Mi sipendi mtu anakukuta vingine halafu anataka kukuharibia utaratibu.
Muache avae. Ni urembo tu.
 
Jamani sijapata picha wala kuelewa lolote hapa, mnamaanisha nini kusema TIGO!!!!!!!! lain ya TIGO ina uhusiano gani na kuvaa kikuku?
Msaaada tafadhali - kuuliza si ujinga ujinga ni kukaa kimya.
 
...But a woman at work told us she only wears it on the right due to obvious reasons - but we must be stupid because we obviously couldnt figure it out.

This is probably the source of this debate!
 
unataka hadi akuambie line yangu ya Tigo ipo bize? wewe kama hujui kosoma basi angalia tu hata picha

Siyo kweli hata kidogo. Ni kutokujua maana ya kitu halafu watu wakaweka tafsiri zao.

Kikuku ni pambo tu na hapo awali ilikuwa Waarabu na Wahindi ndiyo wanaovaa sana mapambo hayo. Hebu angalieni filam za kihindi huwa havikosekani kwani wao ni pambo muhimu kama pete na bangili.
 
Kuvaa kikuku mguuni ni utamaduni wa INDIA. Msichana wa India huvaa kikuku mguuni kuashiria kuwa AMECHUMBIWA na HATAKI MWANAUME AMSUMBUE (tofauti na mchumba wake). Kwa India kikuku ni heshima kubwa kwa Msichana. Ila Bongo mmhh.. MAIGIZO TU.

Haya yangu macho na masikio tutasikia mengi.
 
salaam kwenu wana JF espesialy wadau wa MMU...kuna kitu kinanitatiza nacho ni tabia ya wadada wanao vaa cheni mguu wa shoto,hivi ina maanisha nini?natumaini mawazo na ushauri wenu vita nisaidia.....
 
Ahhhh!Embu pitia thread za nyuma utapata majibu yako.
 
salaam kwenu wana JF espesialy wadau wa MMU...kuna kitu kinanitatiza nacho ni tabia ya wadada wanao vaa cheni mguu wa shoto,hivi ina maanisha nini?natumaini mawazo na ushauri wenu vita nisaidia.....

Ni urembo tu kama vile kuvaa cheni shingoni, mkononi au kiunoni. Hakuna maana nyingine zaidi. Kama alivyosema Lizzy hili limeshajadiliwa sana siku za nyuma tafuta mijadala hiyo labda itasaidia kukufunua macho.
 
Mkuu mambo ya Lamu waachie wakazi wa Lamu!!!:tape:
sawa babu ila unaweza ona mtoto kasimama....si unajua nyumba ina sifiwa choo? alafu katupia kicheni mguu wa shoto then mtu anakwambia...."yule ukimchukua mkifika kitandani huulizi una jeuza tu ndo signal yao"
 
TUACHE KUTETEA UPUUZI..... UHALISIA NI KWAMBA WANAFANYWA KINYUME NA MAUMBILE...SAWA NA VIJANADUME VIVAAVYO HERENI....NAO WANAFANYWA KINYUME NA MAUMBILE YAO....!
Mengineyo ndiyo yanaingia baada ya maana halisi kupita
 
Back
Top Bottom