Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hizi ni tafsiri za kitoto, za vijiweni, za kijinga (sio ujinga wa kukosa mabanda bali kutojua mambo), kama sio za kihuni, kama ambavyo tunatoa tafsiri nyengine kwa "kuingiza wote katika kapu moja" kama vile wanaume wanaova herini, kusuka nywele, kuweka rasta, kuweka ndevu O n.k. Ikiwa kweli mtu ni mpenda tigo, hebu amvamie mwanamume mwenye O au aliyevaa cheni aone kilichomfanya kuku awe hanyonyeshi!

Kuvaa cheni miguuni = Tigo? Mbona wanawake wanavaa vikuku tangu enzi za Manabii? Mbona wanaume wanavaa cheni na herini tangu enzi za Shakespeare? Sijawahi kusikia upuuzi kama huu siku nyingi sana. Inawezekana kuwa hivyo ndivyo inavyotafsiriwa, lakini haina maana kuwa madhumuni yake ndio hayo. Atokee mmoja tu ambaye ameshatembea na angalau wanawake watatu waliovaa cheni na kupewa au kujichukulia tigo!

Kama unataka ujivunjie heshima na udharaulike ikiwa wewe ni mpenda tigo, mtongoze mwanamke alovaa cheni mguu wa kushoto ukifika naye kitandani umdai tigo.

Mkuu umemaliza
 
Mmmhh!!mbona hii mada imepata utetezi mkubwa sana?

Kuna nini nyuma ya hii mambo?
Sitaki kuamini kama wateteaji hii mambo watakua ndio ma mende...
Je! wanaopinga inamaana niwashamba?

Mimi sina comment yoyote ila nafahamu njia iendayo uzimani ni nyembamba.
 
Mimi sivai hiyo cheni kwa kuwa partner wangu ana mawazo mgando na anahisi watu watanielewa vibaya.

Lakini amini nakwambia hata ofisini marafiki zangu wote wa kike wanazipenda hizo cheni kinoma ila tu ndo hivyo jamii yetu ya mfumo dume inatuamria tuvae nini na nini tusivae.

Kwa hiyo bado nawapa tano wanaovaa cheni wanapendeza sana hasa kama una mguu wa bia

Mmmhh!!mbona hii mada imepata utetezi mkubwa sana?

Kuna nini nyuma ya hii mambo?
Sitaki kuamini kama wateteaji hii mambo watakua ndio ma mende...
Je! wanaopinga inamaana niwashamba?

Mimi sina comment yoyote ila nafahamu njia iendayo uzimani ni nyembamba.
 
Anayesema stori za mitaani shauri yake!

Wanawake wanaovaa cheni miguuni - ni wale ambao unconsciously wanadhiirisha kupungukiwa katika tendo la ndoa/ngono/mapenzi - be it wameolewa au wapo katika mahusiano na wanaume (nyumba ndogo, vimada, changudoa, e.t.c). Ni ishara ya kuonyesha wanaume kuwa "Come and Take, My LOVE IS FREE"!

Angalizo: Wengi wanafanya bila kukusudia!
 
Tuache mawazo mabaya cheni ya mguuni,kiunoni au popote ni urembo tu,kuna rafiki yangu kaniambia eti ukiona mwanamke alievaa pete kwenye kidole cha mguu huyo hata usimtongoze mvute tu uondoke nae nikamwambia utafungwa wewe kwa kusudio la kubaka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ah ah ah duh kweli kuwa uyaone haya na cheni /shagga kiunoni tunatoa nn?mm navaa cheni miguu yote weza natoa tigo sitoi hayo ni mambo ya ndani na mwandani wangu!wangapi hawavai cheni na wanatoa tigo?kila mtu na starehe yake jamani cc ni binadam tu na wala si Mungu,tusihukum,lkn pia si vby kufikiria hivyo unavyofikiria but to me waht people think.tolk,discuss about me its none of my business!Ntafanya chochote nachoona hakina madhara kwangu as long as sivunji sheri,namuheshim na kumtukuza Mungu wangu!
 
Hapo chacha
 
Mimi sivai hiyo cheni kwa kuwa partner wangu ana mawazo mgando na anahisi watu watanielewa vibaya.

Lakini amini nakwambia hata ofisini marafiki zangu wote wa kike wanazipenda hizo cheni kinoma ila tu ndo hivyo jamii yetu ya mfumo dume inatuamria tuvae nini na nini tusivae.

Kwa hiyo bado nawapa tano wanaovaa cheni
wanapendeza sana hasa kama una mguu wa bia

asante mpendwa...mie ni mmoja wao, navaa mguu wa kulia, navaa kwa urembo na huwa cjali binadamu watatafcri vipi,sasa cjui kwa mie ninaevaa kulia watanichambua vipi....
 
Ngoja tuwasubiri labda watasema hapa l.o.l
 
Anayesema stori za mitaani shauri yake!

Wanawake wanaovaa cheni miguuni - ni wale ambao unconsciously wanadhiirisha kupungukiwa katika tendo la ndoa/ngono/mapenzi - be it wameolewa au wapo katika mahusiano na wanaume (nyumba ndogo, vimada, changudoa, e.t.c). Ni ishara ya kuonyesha wanaume kuwa "Come and Take, My LOVE IS FREE"!

Angalizo: Wengi wanafanya bila kukusudia!

pwehhh...pole sana, mie navaa na cjapungukiwa tendo la ndoa kwa mr wangu, navaa kama urembo na nitaendelea kuvaa coz haina kasoro yoyote kwenye ndoa yangu na mr wangu anaichukulia ni urembo kama urembo mwingine wowote..leo umenitolea bomu...boom!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
huwezi kuzuia binadam kusema mamy,kuina watu wapo kwajili ya kukosoa tu alwaz,we subiri sasa hivi watakwambia unatoa skio!lkn mara nyingi ukichunguza maisha yao wanafanya zaidi ya uwajuavyo!yani anaweza akajaza vinywaji bar home kwake soda mpaka ckukuu!wepesi wa kuongea sana yani kama ni mpira wao wanacheza mechi ya mdomo "huyu yamaa bana pale angepiga kichwa ingekuwa gori"lkn mwambie aingie kati hata rede hajui!wasikupe shida nyamayao watu kama hao lazima wawepo ili dunia izunguke!
asante mpendwa...mie ni mmoja wao, navaa mguu wa kulia, navaa kwa urembo na huwa cjali binadamu watatafcri vipi,sasa cjui kwa mie ninaevaa kulia watanichambua vipi....
 
huwezi kuzuia binadam kusema mamy,kuina watu wapo kwajili ya kukosoa tu alwaz,we subiri sasa hivi watakwambia unatoa skio!lkn mara nyingi ukichunguza maisha yao wanafanya zaidi ya uwajuavyo!yani anaweza akajaza vinywaji bar home kwake soda mpaka ckukuu!wepesi wa kuongea sana yani kama ni mpira wao wanacheza mechi ya mdomo "huyu yamaa bana pale angepiga kichwa ingekuwa gori"lkn mwambie aingie kati hata rede hajui!wasikupe shida nyamayao watu kama hao lazima wawepo ili dunia izunguke!

Pearl....nimecheka mpaka machozi euiii, asante kwa kuniongezea cku za kuishi.
 
Tuache mawazo mabaya cheni ya mguuni,kiunoni au popote ni urembo tu,kuna rafiki yangu kaniambia eti ukiona mwanamke alievaa pete kwenye kidole cha mguu huyo hata usimtongoze mvute tu uondoke nae nikamwambia utafungwa wewe kwa kusudio la kubaka.

Nimependa hapo kwenye RED mkuu.

Natamani kuunga mkono hoja ila nikiangalia mlipuko wa watumiaji wa hii fashion mpya ya VIKUKU wengi wao wananishawishi kabisa niamini kua yanayosemwa NIUKWELI MTUPU na kinachopelekea wawe hivyo wengi wao hawajitegemei kiakili.
wakiona kitu kimefanywa na macelebrity u na wao kesho watauza hata nafaka zao ili wakanunue bila kujua utamaduni na ujumbe husika unaowakilishwa kwa aliyeivaa, na mbaya zaidi hawaishii hapo tu wanaiga hadi aina ya maisha husika ya aliyemuona na kwa kua hwajitegemei kiakili hata inapotokea kujua maana na ujumbe halisi ni nini?bado hastuki na anaichukulia ni sehemu tu ya maendeleo kidunia na hapo ndipo inapoteza imani yetu ya kuamini kua ni UREMBO TU.

Kubwa na lamsingi sio wote wanao vaa hivyo huwa kihivyo ila inji za kimagharibi huitumia aina hii ya urembo kama kielekezi kua wanapiga kotekote.
Ni hisia zangu tu lakini kuamini sio lazima.
 
umeshasema ni magharibi sasa cc tupo mashariki na tunavaa kama urembo.
 
huwezi kuzuia binadam kusema mamy,kuina watu wapo kwajili ya kukosoa tu alwaz,we subiri sasa hivi watakwambia unatoa skio!lkn mara nyingi ukichunguza maisha yao wanafanya zaidi ya uwajuavyo!yani anaweza akajaza vinywaji bar home kwake soda mpaka ckukuu!wepesi wa kuongea sana yani kama ni mpira wao wanacheza mechi ya mdomo "huyu yamaa bana pale angepiga kichwa ingekuwa gori"lkn mwambie aingie kati hata rede hajui!wasikupe shida nyamayao watu kama hao lazima wawepo ili dunia izunguke!
Ahaaaaa ahaaaaa ahaaaaa lol Pearl umevunja mbavu zangu mbili, watu mna maneno dah
 
mmh!!! LEO KAZI IPO,
HAYA mimi yangu macho kujisomea tu.
 
Hakuna cha kusema
kwani nani alisema kushoto tigo
mie kuna siku navaa kushoto na wakati
mwingine kulia

Ni ruhusa kwa Wanawake wote wanaojisikia kuvaa cheni miguu yote au mguu mmoja kufanya hivyo. Cheni hizi zimeanza kuvaliwa na Wanawake sehemu mbali mbali duniani miaka mingi tu lakini miaka ya karibuni urembo huu umependwa sana na Wanawake wengi na hivyo kuwa maarufu zaidi. Wanaotaka kusema yale wanayoyafikiria kuhusu cheni hizo waacheni wafurahishe nafsi zao lakini ukweli unabaki pale pale kwamba ni urembo tu na hakuna maana nyingine yoyote ile. Mwanamke akivaa cheni shingoni ni urembo, akivaa mkononi ni urembo, akivaa kiunoni ni urembo lakini akivaa mguuni/miguuni tu KOSA!!! Miguu miwili anacheza kote kote, mguu wa kulia/kushoto sijui upuuzi gani! hahahahahaha LOL! Kazi kweli kweli!
 
Nimependa hapo kwenye RED mkuu.

Natamani kuunga mkono hoja ila nikiangalia mlipuko wa watumiaji wa hii fashion mpya ya VIKUKU wengi wao wananishawishi kabisa niamini kua yanayosemwa NIUKWELI MTUPU na kinachopelekea wawe hivyo wengi wao hawajitegemei kiakili.
wakiona kitu kimefanywa na macelebrity u na wao kesho watauza hata nafaka zao ili wakanunue bila kujua utamaduni na ujumbe husika unaowakilishwa kwa aliyeivaa, na mbaya zaidi hawaishii hapo tu wanaiga hadi aina ya maisha husika ya aliyemuona na kwa kua hwajitegemei kiakili hata inapotokea kujua maana na ujumbe halisi ni nini?bado hastuki na anaichukulia ni sehemu tu ya maendeleo kidunia na hapo ndipo inapoteza imani yetu ya kuamini kua ni UREMBO TU.

Kubwa na lamsingi sio wote wanao vaa hivyo huwa kihivyo ila inji za kimagharibi huitumia aina hii ya urembo kama kielekezi kua wanapiga kotekote.
Ni hisia zangu tu lakini kuamini sio lazima.

Wamasai nao wanapiga kotekote
 
Back
Top Bottom