Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Hizi ni tafsiri za kitoto, za vijiweni, za kijinga (sio ujinga wa kukosa mabanda bali kutojua mambo), kama sio za kihuni, kama ambavyo tunatoa tafsiri nyengine kwa "kuingiza wote katika kapu moja" kama vile wanaume wanaova herini, kusuka nywele, kuweka rasta, kuweka ndevu O n.k. Ikiwa kweli mtu ni mpenda tigo, hebu amvamie mwanamume mwenye O au aliyevaa cheni aone kilichomfanya kuku awe hanyonyeshi!
Kuvaa cheni miguuni = Tigo? Mbona wanawake wanavaa vikuku tangu enzi za Manabii? Mbona wanaume wanavaa cheni na herini tangu enzi za Shakespeare? Sijawahi kusikia upuuzi kama huu siku nyingi sana. Inawezekana kuwa hivyo ndivyo inavyotafsiriwa, lakini haina maana kuwa madhumuni yake ndio hayo. Atokee mmoja tu ambaye ameshatembea na angalau wanawake watatu waliovaa cheni na kupewa au kujichukulia tigo!
Kama unataka ujivunjie heshima na udharaulike ikiwa wewe ni mpenda tigo, mtongoze mwanamke alovaa cheni mguu wa kushoto ukifika naye kitandani umdai tigo.
Mkuu umemaliza