Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Lkn kama wamasai wanavaa naona na kama culture za wahindi na waarabu ni sana mi sioni kama ina maana mbaya mfano anayevaa cheni ya mguu lkn aevaa baibui au nguo ya kujisitiri utamuonaje.mimi sioni kama vinalink sana kivile anayeweza asivae akaw aivo anaweza akavaa na akawa sio ni mawazo yangu tu
Wavaaji wanajitangaza acheni kupotosha uma wamasai ni jadi yao wewe mzalamo ni jadi yako!?
 
hivi ni kwanini hapa tanzania mwanamke akivaa cheni kiunoni au miguuni anaonekana muhuni?
mbona wahindi wanavaa nguo zao zile tumbo linabaki lote nje na vikuku kibao ,puani kiunoni miguuni na hakuna shida?
kinachowafanya mtuone wahuni kisa tumevaa cheni miguuni au kiunoni ni nini wakati tuna bikra zetu?
 
Uhuni ni kufanya jambo lisiloendana na mila na desturi ya jamii hiyo so si kila kinachofanywa na wazungu sio uhuni kwa Waafrika maana mila na desturi ni tofauti Mfano jamii ya King Mswati mavazi yao si uhuni kwao ila kwa Tanzania SIJUI UTAITWAJE
 
muhindi asipo vaa ligauni wenzao wanamwona mhuni.

ni utamaduni tuu bibi yako uliwai kumuona anavaa kikuku?

kama hapani ni utamaduni ulioigwa.
 
hivi ni kwanini hapa tanzania mwanamke akivaa cheni kiunoni au miguuni anaonekana muhuni?
mbona wahindi wanavaa nguo zao zile tumbo linabaki lote nje na vikuku kibao ,puani kiunoni miguuni na hakuna shida?
kinachowafanya mtuone wahuni kisa tumevaa cheni miguuni au kiunoni ni nini wakati tuna bikra zetu?
Kumbe miss Natafuta nae ana B....ra!! mkuu ni pm kunakazawadi nikupatie
 
Back
Top Bottom