Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Du...aiseeHakuna anayeamini ni urembo wengi wanaodanganya ni urembo wanasaka wateja washiriki waongezeke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du...aiseeHakuna anayeamini ni urembo wengi wanaodanganya ni urembo wanasaka wateja washiriki waongezeke
Wavaaji wanajitangaza acheni kupotosha uma wamasai ni jadi yao wewe mzalamo ni jadi yako!?Lkn kama wamasai wanavaa naona na kama culture za wahindi na waarabu ni sana mi sioni kama ina maana mbaya mfano anayevaa cheni ya mguu lkn aevaa baibui au nguo ya kujisitiri utamuonaje.mimi sioni kama vinalink sana kivile anayeweza asivae akaw aivo anaweza akavaa na akawa sio ni mawazo yangu tu
Wewe ndiye hujuiMi najuaga ni Malaya ila waada wengi wanaiga tu bila kujua
zoteUna bikra ya upande upi madam mtafutaji.
-Kaveli-
kwaiyo utamaduni ulioigwa ndo uhuni?muhindi asipo vaa ligauni wenzao wanamwona mhuni.
ni utamaduni tuu bibi yako uliwai kumuona anavaa kikuku?
kama hapani ni utamaduni ulioigwa.
hahahahahahahahahahaahahkinachowafanya mtuone wahuni kisa tumevaa cheni miguuni au kiunoni ni nini wakati tuna bikra zetu?
wewe huna?hahahahahahahahahahaahah
Hapana mimi sina bikirawewe huna?
ahahaaa pole sanaHapana mimi sina bikira
hayo ni mawazo yakokama huo wa vikuku ndio
hayo ni mawazo yako
Kumbe miss Natafuta nae ana B....ra!! mkuu ni pm kunakazawadi nikupatiehivi ni kwanini hapa tanzania mwanamke akivaa cheni kiunoni au miguuni anaonekana muhuni?
mbona wahindi wanavaa nguo zao zile tumbo linabaki lote nje na vikuku kibao ,puani kiunoni miguuni na hakuna shida?
kinachowafanya mtuone wahuni kisa tumevaa cheni miguuni au kiunoni ni nini wakati tuna bikra zetu?