Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Ila vile vikuku kuna style zetu ukimkunja vina raha yake

Waacheni wavau kwakweli
 
Miss Charming

Maana uliyoitoa haiko mbaaali na maana niliyowahi kuisoma sehemu, wanadai ilianza miaka mingi iliyopita kwenye gereza moja la amerika, ikawa mtu anajitambulisha hivyo.

Kwamba akiweka mguu wa kushoto, ANATUMIKA, akiweka wa kulia ANATUMIA, akiweka yote, anafanya yote mawili.

Wanasema baadae utambulisho huo ukaanza kuenea mitaani na mwishowe ndo hata sasa tunaulizana.
 
Itakuwa ni kweli lisemwalo lipo mkuu
 
Itakuwa ni kweli lisemwalo lipo mkuu

Na kuna article inasema huwa zinavaliwa na wanaoitwa "Hotwife". Kwamba yuko kwenye ndoa na mume ila yupo free ku-date mtu mwingine, wanatumia alama kama "Kopa, duara lenye msalaba chini yake, Q, Kopa(kwenye karata) tatoo ya kopa kwenye ankle n.k" Na zote hizo wamesema zina maana mf: Kopa na Q pamoja inamaanisha anapendelea Wanaume weusi.
 
Sasa ikiwa fikira za watu ni kuwa wavaaji hivi ni wahuni kinamna hy..kwann uvae? Vp mtu akikuambia unashiriki hivo mtu unakuwa mkali?..sisi sio malaika tunahukumu kwa kuona tuu
 
Watajua mwenyewe sisi tunataka papuchi tyuu ivyo vingine watajua wao
 
Na kuna article inasema huwa zinavaliwa na wanaoitwa "Hotwife". Kwamba yuko kwenye ndoa na mume ila yupo free ku-date mtu mwingine, wanatumia alama kama "Kopa, duara lenye msalaba chini yake, Q, Kopa(kwenye karata) tatoo ya kopa kwenye ankle n.k" Na zote hizo wamesema zina maana mf: Kopa na Q pamoja inamaanisha anapendelea Wanaume weusi.
Duuh aisee hii ndo naisikia kumbe wabongo wanajua sema wakaidi tu
 
Ni urembo tuu ingawa urembo huu unatumiwa vibaya na wale wenye biashara zao,.mm nilishawahi kuvaa kabla ya kwenda chuo na wakati nipo chuo lakini ckuwa nauza chochote ila kwa sasa hata jinsi ya kukivaa nimeshasahau.....cjui na utoto nao ulikuwa unachangia unajilipua tuu huoni nn wala nn...

Yalo pita si ndwele...
 
mimi sivipendi[emoji23] baadhi ya watu nnaowafahamu wanavaaga najaribu kuwaelekeza wanasema ni urembo tu hakuna lolote.
Ila kuvaa kikuku ni nembo ya umalaya, mguu wa kushoto nyuma ,wa kulia mbele...
akivaa yote anauza pote[emoji23][emoji23].

Halafu zamani walikua wanavaa walioolewa ambao mumewe jogoo hasimami ,kwahiyo akivaa anamaanisha mumewe hawezi kitu yuko tayari kwa mpango wa kando na Bwana karuhusu( mama ndivyo alivosema )
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ni sawa na yale manaume yanayoboa masikio kumaanisha wanatandikwa mjeredi nyuma.
 
Back
Top Bottom