Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Shanga shangani mkuu.Shanga is life!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shanga shangani mkuu.Shanga is life!
Wanasema wing Wa shanga ndo ukubwa Wa shughuli sijui ni kwlHata mbili basi sio lundo kama mzigo
Zingine zinasokotana na vinyweleo inakuwa karaha mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shanga shangani mkuu.
Perfects: ngoja tuchimbue chimbue mishanga, tupate maana na faida yakeHUU UZI UKO MUBASHARA KABISA MANAKE SIO KWA PICHA HIZI.NGOJA NI SUBSCRIBE KABISA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo chaputa awakosi kwenye huu uzi lazima wawepo.Ombi: picha ziongezwe tafadhali
Wengine hamna kitu mkuu, mbwembwe tu.Wanasema wing Wa shanga ndo ukubwa Wa shughuli sijui ni kwl
Of koz mwanamke mvaa shanga ana utamu wake..Tupo tunaopenda, Na wapo wasiopenda, lakini shanga zina mvuto wake kwa mwanamke.
intake radhi mkuu mimi sio CHAPUTA kabisa napendaga tu kuangalia mijishanga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo chaputa awakosi kwenye huu uzi lazima wawepo.
Mie nilikutana nazo kitambo kwa mama, mmoja wa kijaruo balaa mkuu, na huyo mama shughuri anaiweza haswa.Hahhaa afu ujue sijawah pata partner ana shanga hata mmoja. Sema natamani, I wish I could try them. Huwa naziona tu kwenye picha kama hivi. Tunaotoka na watu wa kaskazini hawana hizi mambo.
Hata mbili au tatu basi sio lundo kamaTupo tunaopenda, Na wapo wasiopenda, lakini shanga zina mvuto wake kwa mwanamke.
Sawa lkn 2 au 3 sio mzigo kiunoniOf koz mwanamke mvaa shanga ana utamu wake..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] samahani.intake radhi mkuu mimi sio CHAPUTA kabisa napendaga tu kuangalia mijishanga
Asante. Huu ndio undugu wa kweli
Mie nilikutana nazo kitambo kwa mama, mmoja wa kijaruo balaa mkuu, na huyo mama shughuri anaiweza haswa.
Yaa tena mm huwa napenda mwanamke anivalie shanga moja tuu sio MTU anavaa shanga ka mkanda eehSawa lkn 2 au 3 sio mzigo kiunoni
msamaha umekubaliwa bila masharti ha ha ha. Ungetupiamo hata picha moja yenye kaushanga au ukiona imetumwa usisahau kuni tag[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] samahani.
Alizivaa kama 100 hivi kwa hesabu ya haraka haraka, mpaka nikawa naingia wasiwasi mawazo yakawa yananituma au huyu mama mwanga, maana si kwa mishanga ile ya kufa mtu mkuu.hahahaaa so siku nikiona lundo nijue na ukubwa wa shughuli uko hivo??
Na wanawake wengine wana viuno vya shanga mkuu, akiwa mtupu asivae nguo abaki na shanga tu hadi raha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaa tena mm huwa napenda mwanamke anivalie shanga moja tuu sio MTU anavaa shanga ka mkanda eeh