Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Basi mie vinavuruga kichwa kabisa hata niambiweje.
Nipelekeni kozi ya kuvielewa basi
Nipelekeni kozi ya kuvielewa basi
Hivi watu bado hamjavizoea tu hivo vikuku? Tafsiri yangu ni urembo tu hata nikimuona mtu kavaa simshangai!