Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

wanaume wengine bana!! unapekura mpaka kusikopekurika, matokeo yake ndo hayo, kiherehere kimuishe.
 
Ndio maana mimi sitafuti kilicho kabatini kwa wife, kwenye pochi zake au simu yake. Utakuta vitu vya kukutia presha. Hata ukimwacha karibu wote wako hivyo hivyo. Tulia na unachokiona, usichokiona hakitakusumbua.
Hata sisi bili zetu za vikao vya jioni zingefika nyumbani!!
hapo sasa
 
Mwanamke 1 alyjkana kwa jina la Rose,mwisho wa wiki iliypta alitimuliwa na mumewe baada ya kukutwa na rundo la shanga zinazodaiwa aliazima kwa ajili ya kumridhisha buzi wakati wa ku sex,mumewe huyo alizifuma shanga hzo zkiwa zmfchwa chini ya godoro na inadaiwa kwamba alimhuhumu mkewe kuwa amekuwa akizivaa anapokwenda kwa buzi lake kwani hakuwahi kumuona akizivaa akiwa maye wakifanya mapenzi!!

Na wanawake wengine wanavyopenda sifa utakuta shanga zinafika hata mia tena zinapangwa kufuatisha rangi za bendera ya Tanzania... Balaaaa! Maskini pole yake,na inavyouma kumegewa..hahahaaa..i can imagine jamaa alifuraaaaje!
 
wakikumegea demu wako na wewe tafuta mnyonge umegee wake. Ila duh tuache utani hii inshu ni noma kwa kila mwanaume atakayekutana nayo lazima reaction itakuwa ni talaka. Hakuna maelezo mengine ya kutoshereza agenda.
 
Bora hata alizikuta ajue wyf wake cio anaemjua... hahahaaa
 
huu ni mfano mdogo katika mengi ambayo hutendwa
 
Kuna usemi unaosema idadi ya hizo shanga ni ishara ya wanaume wangapi wameshamlamba...........;je ni kweli ?
 
Siku za nyuma nilikuwa nikisikia tafsiri mbalimbali ambazo kiukweli si
nzuri juu ya hii kitu inaitwa KIKUKU. Kinachonifanya niulize ni hiki,

Majira ya saa moja na nusu Juzi nimekutana na kina dada wawili ambao
walikuwa wameongozana huku wakiwa na kapu la vyombo mkononi
(Nahisi walikuwa wanatoka hospitali)
mmoja alikuwa amevaa kikuku(Ushanga, mkufu) mguu wa kushoto alikuwa
anaporomosha matusi mazito sana tena ya nguoni huku akiwa ameongozana
na mwenzake Namnukuu -

"Eti anataka nimpe....***** cha maumbile (Hapo nimepoza maana alitumia maneno makali sana)...
**** sana yule ... tena ms**** , kkk....***** ke**** (Matusi mazito)
Eti anasema kwanini yeye namnyima wengine nawapa. Mshenzi sana yule ye hajui kuwa hili ni
pambo tu kama mapambo mengine. Yaani kuvaa kikuku ndo aninanihiii (Tumepoza)
Sitaki hata kumuona na mpango wa ndoa na yeye ndo umekufa, hawa wanaume wa TANGA sitaki hata
kuwasikia maana nasikia hata baba Tamasha ndo mchezo wake kamuharibu mkewe hivi hivi"

Ndugu zangu mi naomba kujua kuhusu hiki kikuku Je ni pambo la kawaida
au ni kama tulivyokuwa tunasikia zamani kuwa... maana naona wanaovaa
siku hizi ni wengi sana, kitu ambacho akili inakataa kuwa wote hao
ni wanachama.

 
Ki-kuku.......=ki-nyume na maumbile???
Sjawahi kuwaza/sikia
kumbe ndo hivo?
 
heels1.jpg
 
kwani, mnyororo shingoni kwa mnyama una maana gani?

Anyway kila mtu na tafsiri yake.
 
bAHATI mBYA huku kwetu haijanea sana, lakini it goes without saying kichicken kikivaliwa kushoto maana yake anasagwa/liwa kiboga (down) mguu wa kuume (si wa KULIA) maana yake ni msagaji. Hii ni sanjari na uvaaji wa heleni kwa wanaume, kulia maana yake ni top na kushoto ni DOWN, pande zote mbili malizia wewe.

Vijana wetu wanaiga tu huku lakini ukiienda japo bondeni tu AMBAPO WENZETU WAESHDOMESTICATE kuhalisha LGBTI this is the case, karibu kwa maswali zaidi
 
Back
Top Bottom