Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hah hah hah hah hapo zamani JF ilikuwa nzuri zaidi.

Siku hiz humkuti bro P akichangia mada kama hizi.





Dada zetu, wake zetu, wapenzi wetu na mama zetu, mapambo ni kwa kiasi yakizidi ni tatizo. Kwa upande wa vikuku mimi sikujua ni batili mpaka pale Mwana FA katika wimbo wa 'Mabinti' aliposema 'Unaona shanga za miguuni naita vikuku, japo kwa wenye ufahamu ni batili'.

Ukweli unabaki kuwa wadada wamama jipambeni kwa kiasi. Naamini hata wewe ukiona mapambo yanazidi yanageuka kero. Mimi naomba nikupeleke deep zaidi kwenye saikolojia ya mapambo. Kwa vile lengo la mapambo toka enzi na enzi ni kumfanya mwanamke apendeze na mwanamke akishapendeza amini usiamini anakolea zaidi katika mambo fulani.

Wanawake walioongoza kwa kuvaa dhahabu walikuwa wanawake wa Kimisri enzi za Malkia Cleopatra. Mapambo haya yalifikia kilele chumbani wakati wanawake hawa walipojifunua miili yao na kubaki kama walivyozaliwa na walianza kucheza kila aina za mikatiko huku wakisaula kimoja kimoja hatimaye walibakisha shanga za kiunoni, vipini na vikuu na shughuli ilifuatia.

Mpaka leo wanaoongoza kuvaa mapambo hswa dhahabu ni wanawake wa kiarabu lakini mapambo yote ndani ya baibui mpaka muda muafaka wa kujifunua tena kwa mlengwa pekee.

Kutokana na dhahabu kuwa ghali, wadada zetu ili kuonyesha jeuri ya pesa sasa ni kupanga macheni, mapete na mahereni lukuki tena wengine mpaka shanga za dhahabu!. Na asienavyo si haba shurti aazime.

Hapa ndipo kwenye matatizo. Mapambo yakizidi ni dalili ya inferiority complex kwa baadhi ya wanawake kujipamba kupindukia ili kujiridhisha nafsi zao kwa sasa wamependeza. Wajipambao kwa madhahabu mengi kupindukia ni ama wametoka familia duni na sasa wamepata wanataka kuutangazia ulimwengu wote hiyo sasa ndio thamani yao. Wanawake matajiri wa kiukweli wanavaa mapambo simple tuu halafu nenda kwenye mkesha wa mdundiko
Uone mijimama inavyoshindana kwa dhahabu.

Namalizia na pambo la ndani la shanga za kiuno. Baadhi ya wanawake wanaamini shanga hizo huwapagawisha wenzi wao. Basi utawakuta wengine wanafikiri ukizidisha idadi unakuwa bingwa zaidi. Niliwahi kuzihesabu za bingwa mmoja a Tanga, alinivalia 40!. Kwa vile mie sio hoi kwa somo hilo, huyo dada japo ulikuwa bingwa hilo zigo la maashanga kwangu lilikuwa kero kiasi cha kuharibu ladha yote ya somo zima!.

Na sasa hivi visichana vinavyochipukia, vinavaa lundo la shanga mikononi kama bangili ili kukupa nafasi ya kujiuliza kama mkononi ndio hivyo, huko kwenyewe itakuwaje?!.
Mapambo ni kwa kiasi tuu yakizidi inakuwa taabu.

Pasco
 
Hah hah hah hah hapo zamani JF ilikuwa nzuri zaidi.

Siku hiz humkuti bro P akichangia mada kama hizi.
Mkuu Okiwira,
Nipo, nikiwa na cha kuchangia, huwa nachangia.
P
 
Mkuu Okiwira,
Nipo, nikiwa na cha kuchangia, huwa nachangia.
P


Link ya mwisho nimeipenda heshima kwako Mkuu Pascal Mayalla
 
Hii kitu ni urembo tu!!! Ika unatumika sana na wadada wa aina fulani!!! Msichana mstaarabu na anaejielewa na kujitambua ni ngumu kumkuta kavaa kikuku... Vinavaliwa sana na wapenda sexual attention, ila haimaanishi ni wanachama wa tigo. Ukivaa kikuku unajifeel sexy, ata jinsi ya kutembea na kuongea inabadilika....
Kwa mtu kama mimi siwezi ata kukivaa... Yaani ni kama kumwaga sukari chini, obviously sisimizi watakuja tu... Kikuku ni kama sukari, kinavuta wanaume.
Na inakuaje kama ukavaa alafu kidume kikataka kugeuza chapati........!!!?
 
Wengine ni wamama na heshima zao tena wana pesa za kutosha wanavaa ina maana nao wanatangaza hiyo biashara?
Kwani wao ni maraika? Uhuni auna umri bhana unaweza kutana na mmama mtu mzima ile mbaya lakini ndiyo michezoyake hiyo.
 
Mmh,hakuna kitu kama hicho kwangu kilichotokea ni basi tuu kama mtu anavyoamua kuacha punyeto/sigara/bangi/pombe n.k ndivyo ilivyo kwangu na Bado mwanamke mwenye guu lake akivaa ananivutia na simfikirii kama ni Malaya...pia kazi yangu hainiruhusu kujiachia kihivyo mkuu ingawa niliacha kabla kabisaaaa ya kuwa na majukumu yyte yale.
Vp lakini katika pitapita zako aukukutana na kitudeme kikasoma nyakati kikataka Mtaro?
 
Nilijua ni kuku wageni wameingia mjini juzi tu hata km zao hazisomi zaidi ya 10km.

Pia nilidhani ni njiwa mwenye mwenyewe kashawekewa tag mguuni, miaka ile ya utoto tulikuwa tunachonga plastic za rangi mbalimbali na tundu kisha unamvisha njiwa wako hata mpishane tegeta wakati nyumbani mbagala utamjua tu.
 
Tusaidiane wataalamu wa mambo,

Nashindwa kuelewa nini hasa maana ya kuvaa shanga kiunoni kwa wanawake, hasa wakati wa mgegedo.

Niliwahi kumnunulia mchumba cheni za kuvaa kiunoni, mwisho wa siku hata sikuelewa lengo la ile cheni ni nini.

Nini hasa lengo la kuvaa vile kiunoni?
 
Wale wenye muonekano wa 'apple' pale wanapoinama,huongeza spidi ya mambo.
 
Tusaidiane wataalamu wa mambo,

Nashindwa kuelewa nini hasa maana ya kuvaa shanga kiunoni kwa wanawake, hasa wakati wa mgegedo.

Niliwahi kumnunulia mchumba cheni za kuvaa kiunoni, mwisho wa siku hata sikuelewa lengo la ile cheni ni nini.

Nini hasa lengo la kuvaa vile kiunoni?

Mada kama hii unashindwaje kuweka kiambatanishi mkuu? Ili michango iwe hai.
 
Mada kama hii unashindwaje kuweka kiambatanishi mkuu? Ili michango iwe hai.
images (4).jpeg
 
1. ukiwa unapiga chuma mboga , unakua unazivuta zile mithili ya kamba, maana bila zile inabidi uvute bega ambalo liko mbali

2. ukipiga stroke za fasta fasta zile beads hua zinalia na kutoa sauti moja fantastic sana
 
Back
Top Bottom