Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Jana nimeona dada tunafanya naye kazi amevaa shanga nyingi sana ikiwa ni wakati wa kazi, Ilinitokea tukiwa tunajadili suala la kazi ofisini aliweza kuangusha kalamu yake na alipooiokota shanga zote zilitokea. Mimi kwa kuwa ni mwanaume mkamilifu MASHINE YANGU ilisimama kabisa na kutokwa na ute mdomoni.
Je hii tabia ya dada zetu katika mavazi inalipeleka wapi taifa letu. Nini maoni yenu ingawa mimi nilishindwa kumueleza kwa suala hilo.
Ungekimbilia kuzihesabu :cool2:
wanangu nilianza wavalisha toka wana miezi 6, ili nigawe nyonga, basi naona hao wangu watazidi asali kha!Unafanya Kazi wapi nilete Apilikesheni zangu za kuomba kazi. Baadhi yao wanaovaa Shanga huwa watamu sana.
Ungekuwa kwetu yakhe yaani ungekuwa umebaka
Huu ni urembo wa asili toka enzi za mababu
Kwenu wapi Dear.
Duh! Hizo shanga zikoje? Na zinavaliwa kwa ajili gani? Nasikiaga lakini sielewagi nisaidieni jamani.
mbona zamani zilionekana wakati wote..??? NA UACHE KUCHUNGULIA VIUNO VYA AKINA DADA..! UWE UNAANGALIA USONI..!
Green--Mdada kainama (yani tuchukulie kainama fast kuokota kalamu lakini wewe macho yako yalikuwa fasta kukolekt data na kuzituma ubongoni hadi ubongo kutrigger hiyo response...For that to happen ni lazima ulikuwa unmeshaanza kumvua nguo mawazoni zamani, wala usisingizie shanga)
macho yako yalifuata nini kiunoni ilhali unajua ni lazima utaona vitu ambavyo si appropriate wewe kuona?
Red--Being a real man has nothing to do with your failure to control your body organs...
kwa hiyo ukiona shanga tu,mkulu anasimama.mhh! Je ukiona bikini si utautupa kabisa.