sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,424
Thanx BAK, yaani sichoki kuuangalia huu mguu lol, hapa mie mwanamke sijui nyie wanaume labda kwa vile macho yanatofautiana kutazama na kipenda ni roho, ila mmmh ningekuwa mwanaume huu ungekuwa udhaifu wangu kwa wadada. Siuoni mguu kwa juu ila ulivovalishwa kikuku aaaah mashallah!! I like it.