Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nadhani shanga zilitumika kwenye famili planing as CODE
kwamba zamani mwanamke akivaa shanga za rangi fulani
(ambayo na mwanaume wowote alie pitia jando lazima aijue)
Basi mwanamke huyo yupo in her fertile period, lazima wajipange
Sio kwamba shanga ziliziwia uzazi, bali shanga zilitoa ujumbe
kuna shanga za red code, za "I'm ready", za "i'm in my fertile period " etc
Jemadari hizo wanatumia kukufunga kiuno endapo utataka kukimbia bila kulipa......ni hilo tuuu
hahahahaha, hapo umemnenea kweli
Wana jf kwa anajua kaz ya shanga kiunoni maana wanawake wangi huvaa kwa wingi naomba tujuzane.
Ha ha ha...kisomi zaidi. Itabidi nianze kufuatilia posts zakempaka umalize thesis yako ya mahaba nakwambia tutakuwa tumekomaje!!
Ha ha ha...kisomi zaidi. Itabidi nianze kufuatilia posts zake
ah sanaa!yani anakuwa kwa kasi ya lile chapati la kichina zamani tulikuwa tunliweka kwenye maji ya chai lile!dah!unakua kwa kasi