Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

sasa shanga na viungo vya uzazi vina uhusiano gani?..sijalewa kabisa
 
Mi nadhani shanga zilitumika kwenye famili planing as CODE
kwamba zamani mwanamke akivaa shanga za rangi fulani
(ambayo na mwanaume wowote alie pitia jando lazima aijue)
Basi mwanamke huyo yupo in her fertile period, lazima wajipange
Sio kwamba shanga ziliziwia uzazi, bali shanga zilitoa ujumbe
kuna shanga za red code, za "I'm ready", za "i'm in my fertile period " etc


Well said mwali wangu. Hayo mengine aliyosema huyo jamaa ni uwongo mtupu, anataka kuleta majanga tu katika jamii hana lolote.
 
WanaJF, Kwa anayejua kazi ya Shanga kiunoni, maana wanawake wengi huvaa kwa wingi. Naomba tujuzane.
 
Jemadari hizo wanatumia kukufunga kiuno endapo utataka kukimbia bila kulipa......ni hilo tuuu
 
We ebu jaribu kuvaa halafu utajua

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ha ha ha...kisomi zaidi. Itabidi nianze kufuatilia posts zake

we fuatilia tu wangu!
yani anauliza vitu vingi kuhusu ngono mpka nahisi anafanya utafiti!
yani mara bikra,mara uume mkubwa,mara tigo,mara sijui nini uuuuwih!yani ngachooooooka miimi!
BTW umeadimika shosti! upo?
 
Back
Top Bottom