Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Muda mwingine na huo huo urijali unasababisha afya mbovu. ( magonjwa ya ngono na UKIMWI).
Ushauri mzuri wa kutunza afya na kuwa makini na lifestyle
Lakini muda mwingine pamoja na kufanya yote kuulinda mwili...katika hali usiyotarajia unakuta tu kiungo fulani kinapata hitilafu,uwe ni mgongo,kisukari, figo ,ini na kadhalika.
Wakati tunajitunza tumuombe Mungu abariki viungo vyote vidumu kwa uimara kwa miaka mingi.
Maana haiwezekani kuwa sawa muda wote,
Kuchakaa kupo palepale.