Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Baba umelala yooo
We richaabra soma comment ya extrovert hapo.Matajiri wasio na nguvu za kiume ni wachache sana😂!!!
Mzee wangu ananiambiaga Pesa ndio nguvu za kiume, ulishamuona Diamond anahangaika na nguvu za kiume? Uwe na hela tu!!!😅😅😅! Huwa nacheka sana yani...
Mkuu Extrovert ujue maskini wana njia nyingi sana za kujifariji ili waendelee na umaskini wao kwa kujiaminisha kua hata matajiri hawana kile wao wanacho 😁😁.