Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 403
Uko sahihi kabisa mkuu usipokua rijalii unakosa vingi 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa uwiiUko sahihi kabisa mkuu usipokua rijalii unakosa vingi [emoji23]
Ni tatizo wabongo wengi kuwaza kwa kutumia kichwa cha chini mkuu, ni kawaida yao.Anasahau kuwa ukiwa na njaa huwezi kusex na wala huwezi kuzaa maana hamna mwanamke anayetaka mwanaume ambaye hawezi leo watoto wake
HhmHujataja ila naona unawasuta mapadri wa kikatoliki, sio kwamba hawana nguvu ila hahahitaji sex. Ni kweli??? Basi huenda ni kutokuowa tu, ila mambo mengine ni kama Kawa?
KKwahiyo mmekubalianaje urijali au ela?