Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

mkuu hayo madika yako wapi?
 
Poleni na majukumu,mimi ni mwanafunzi wa chuo ,kuna mdada nasoma nae wiki 3 zilizopita ameanza kuumwa akaenda hospital vpimo vikaonesha ana uti dozi kapewa katumia,after a week kaumwa tena tukampeleka hospital vipimo hajakutwa na ugonjwa zaidi ya uti na kapewa dawa,juzi ameumwa tena zaidi anaongea vitu visivyoeleweka tukampeleka hospital ya wilaya vipimo vimeshow uti tu kapewa tena doxin na ethromycin.Kwasasa hali ya kua kama anachanganyikiwa inajirudia mara kwa mara na tuko kwenye mitihan ya semister ,naomben msaada wenu tafadhari.ahsanteni
 
Mode wameiamisha hapa,sasa jamani huyu mtu kuchanyikiwa kunazd hapa yenyewe hajielew anaongea visivyoeleweka tu
 
Jaribu kunywa maji mengi yasiyo na chumvi mfn maji mengi ya dawasco yanachumvi nyingi jaribu kutumia yanayouzwa kama vile uhai, Kilimanjaro etc. Just is due to high concentration of solutes in urine pathways which irritating the under line mucosal.
 
umepima sukari? urine pH? unakunywa maji kwa wingi? Njoo na majibu
 
kafanye vipimo vya culture ili wakupe dawa sahihi kutokana na aina ya bakteria watakao kuwa isolated,pia fanya KOH test ujue kama ni fungus kutokana na maelezo yako
 
Acha kutumia maji kujisafisha wakati wa haja kubwa Anza kutumia toilet paper kujisafisha then maji yafuate la sivyo UTI haitaisha kamwe utaenda hospital nenda rudi

Mkuu kwani asitumie maji, nini kinatokea, nieleze kwa faida yangu plz
 
Mkuu kwani asitumie maji, nini kinatokea, nieleze kwa faida yangu plz

Nilikwenda hospital nkaambiwa na dokta ukitumia maji kinyesi kinarudi kwenye njia ya mkojo wale vijidudu vinakuwaga kwenye kinyesi hvyo unatakiwa uanze na toilet paper halafu maji yafuate usianze na maji direct
 
umepima sukari? urine pH? unakunywa maji kwa wingi? Njoo na majibu

Nimepima sana mkuu mpaka urine culture nimefanya na dawa natumia lakin huku dawa natumia bado unakuta korodani moja ya kulia inavuta. Na nikimalizaga dozi vinaanzaga na vichomi vya tumboni yaani sijui nakosea wapi sijui labda izi dawa natumia sivyo.
 
kafanye vipimo vya culture ili wakupe dawa sahihi kutokana na aina ya bakteria watakao kuwa isolated,pia fanya KOH test ujue kama ni fungus kutokana na maelezo yako

Culture nimefanya na majibu yake nimeweka post ya pili.
 
Mkuu sindano nimechoma mwezi uliopita na dawa za kumeza baada ya majibu ya culture. Lakini kumaliza tu hali ikaanza tena nimerudi hospitali nimepewa sasa vidonge naendelea kumeza lakini koradani moja huwa inavuta.
 
Nimepima sana mkuu mpaka urine culture nimefanya na dawa natumia lakin huku dawa natumia bado unakuta korodani moja ya kulia inavuta. Na nikimalizaga dozi vinaanzaga na vichomi vya tumboni yaani sijui nakosea wapi sijui labda izi dawa natumia sivyo.
Kama umeishatumia Powercef+Doxy+Flagyl na bado hujaponaTulia kwanza.Tumia matunda+ fresh juices+Vegetable kwa mwezi mzima. Kama bado maumivu yapo muone daktari akupe Azthromycin 500mg OD kwa siku 7. Baada ya hapo subiri siku 7 -10 kafanye tena urine C/S
 
Nilikwenda hospital nkaambiwa na dokta ukitumia maji kinyesi kinarudi kwenye njia ya mkojo wale vijidudu vinakuwaga kwenye kinyesi hvyo unatakiwa uanze na toilet paper halafu maji yafuate usianze na maji direct

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
 
Kqa sasa nimeandikiwa hizo dawa ndio natumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…