from female to male inawezekana japokuwa sio kwa urahisi kama from male to female ila kwa wale wanaoenda kinyume na maumbile wako katika risk kubwa ya kupata UTI kutoka sehemu ya haja kubwa, wanawake ndio wako kwenye risk sana kutokana na maumbile yao na ukaribu wa uke na sehemu ya haja kubwa
Una very wrong concept ya UTI!!
UTI haiapumbukizi (siyo ugonjwa wa zinaa). Bacteria wanaosababisha UTI wanatoka ndani ya mwili wa mgonjwa mwenyewe (endogenous infection). Bacteria hawa ni kati ya wale wanaoitwa normal flora.
Kirefu cha UTI ni urinary tract infection, yaani uambukizo wa njia ya mkojo. Njia ya mkojo ni kutoka urethra hadi kidneys (figo), yaani pamoja na kibofu cha mkojo na ureters. However, the urethra (not ureter) is not involved in most cases in UTI. The urethra is involved in sexually transmitted infections.
Major Symptoms and signs: Kukojoa mara kwa mara kunakoambatana na maumivu makali sana sehemu ya mwisho ya urthra, n.k.
Wanawake wanaugua UTI mara kuliko wanaume. Hii inatokana na tofauti ya maumbile.
Inatibika kirahisi.
Sababu za mtu kuugua UTI (predisposing factors) ziko nyingi sana.
Kwa heri kwa leo!!

umesema UTI haaiambukizwi kwa sexual intercourse! zifuatazo ni predisposing factors za mtu kupata UTI wazee na watoto, kuwa mwanamke, sexual activity, pregnancy, use of contraceptives, kuwekewa vitu (cathertarization), matatizo ya figo na utumiaji waantibiotic.
tofauti kubwa ya UTI na STI ni severity ya ugonjwa na sio modes of transmission. na ili kupata UTI sio lazima wadudu watoke mwilini mwako mfano stapyhlococcus unaweza kupata toka kwa partner au sehemu nyingine
u ar right, atleast u hv explain 2 him in a simple language hope amepata mwangaza juu ya UTI.
Treatment yake varies frm place 2 place dependin on availability of antibiotic and if its acute or recurrent UTI. He cn use CIPROFLOXACIN 250-500 mg TDS 5/7 (that is three times a day for 5 days). .........
?????!!!!!!!!!!!!!!!
all eyes on me!! kuhusu pregnancy kunakuw na anatomical change, kuchange kwa homoni, urine stasis na sugary urine hivyo kufanya wadudu wakue kirahisi kuhusu contraceptives si unajua zingine zinakuwa inserted kwenye njia ya uke (intrumentation) kwa hiyo wanafanya wadudu wapate attachement nzuri hapo hasa staphySasa ndugu yangu predisposing factor unaelewa kweli wanamaanisha nini?Ebu nipe vizuri hiyo ya pregnacy na contrceptives!
kaexplain nini? kirefu cha UTI? au alivyo danganya kwamba UTI ni exclusively endogenous infection!u ar right, atleast u hv explain 2 him in a simple language hope amepata mwangaza juu ya UTI.
Treatment yake varies frm place 2 place dependin on availability of antibiotic and if its acute or recurrent UTI. He cn use CIPROFLOXACIN 250-500 mg TDS 5/7 (that is three times a day for 5 days). Plus try 2 drink a lot of water.
Hope u wil recover vry soon.