Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
shukrani mkuu Horseshoe pamoja sana
Karibu,ulete tena na magonjwa mengine,wivu nao ni ugonjwa who knows?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukrani mkuu Horseshoe pamoja sana
Jamani naombeni msaada kwa yeyote anayejua dawa nzuri ya U.T.I ambayo haina sulphur.nikimeza dawa zenye sulphur huwa zinaniunguza.kuna daktari kaniandikia RESTATIN na AMOXYLINE.je ni sahihi mana nimeenda kununua dawa hizi muuzaji anadai restatin ni ya fungus.Niko njia panda sielewi msaada tafadhali,
Kuna mdau mmoja alisema pia ukinywa maji mengi inasaidia maana utaflash wadudu wengi.
1.Kufanya ngono na wanaume tofauti tofauti
2.Kuchezewa sehem za siri na mwanaume wakati mikono yake ni michafu.
hapa wanawake wengi ndio hupata U.T.I mwanaume mikono michafu anakushika sehem za siri bacteria wote wanaishia kwenye uke matokeo yake utaugua U.T.I kila
siku.ikiwezekana mfanye anawe mikono kabla ya tendo
3.Kujisafisha sehemu ambapo maji yanakurukia yale ambayo unajisafishia,huingiza bacteria na kusababisha U.T.I isioisha.
4.Matumizi ya pedi zenye kemikali hapa ndipo hatari sasa,wanawake wengi tumekuwa tunaathirika kwa U.T.I kwasababu pedi nyingi tunazotumia zina kemikali ambazo zinauwa bacteria wa asili ambao huzuia U.T.I matokeo yake tutaugua hadi basi na matokeo yake ni kupata kansa ya kizazi,kuingia hedhi bila mpangilio,naweza kukushauri tumia pedi zisizokuwa na kemikali ambazo natumia hutaugua U.T.I kamwe ukizitaka hizo pedi taweka namba za simu mwisho piga namba hizo popote utaletewa.
5.Uchafu wa vyoo
Kutokusafisha vyoo husababisha ugonjwa huu kwa kasi kubwa hasa wale mnaishi vyoo vya shimo haviko visafi kwa hiyo bacteria huingia kwa uharaka sana na kupata U.T.I na wale wenye vyoo vya kisasa pia safishen kwa dawa
6.Kutokunywa maji kwa wingi
Asilimia kubwa sisi wanawake hatuna desturi ya kunywa maji mengi hapa ndipo tunasababisha matatizo ya kupata U.T.I kila siku kwasababu hatunywi maji mengi tukaenda kukojoa ili bacteria watoke.
7.Kubana mkojo kwa muda mrefu.hili nalo ni tatizo kwani unaruhusu bacteria kuingia kwenye kibofu.utakuta mtu anabanwa mkojo mwenge anaenda kukojoa tegeta
U.T.I INASABABISHA SHINIKIZO LA DAMU
Hongera sana Mkuu kwa kuweka somo zuri!
Underline pamenishangaza kidogo! Siku zote hizo natambua MziziMkavu ni mwanaume!
Kumbe MziziMkavu ni mwanamke???? unaposema "wanawake wengi tumekuwa tunaathirika kwa U.T.I kwasababu pedi .." ama ume copy na ku paste tu??!!
Hongera sana Mkuu kwa kuweka somo zuri!
Underline pamenishangaza kidogo! Siku zote hizo natambua MziziMkavu ni mwanaume!
Haeleweki. Alipoeleza matumizi a asali mbichi kutumika kuongeza nguvu za kiume ukitumia kila siku mara mbili asubuhi kabla ya kula chochote na kabla kulala kijiko kimoja kwa muda wa siku 40 alisema ametumia yeye mwenyewe. Sasa kama na hii ya leo ni kweli ina maana ni Shemale
Duh! Basi akitumia maelezo ya watu a-acknowledge ati!Mzizimkavu ni jembe
Khaa! Utafiti vipi? Tuseme wewe haukuona maelezo yake yalioashiria yeye ni ke?Muombe radhi tafadhali