Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

nilipima mkojo nkakutwa nna UTI nyingi .. (ikumbukwe mimi ni mwanaume.) na sijakutana na mwanamke kwa muda zaidi ya miezi sita maana nipo masomoni.. naweza jua ni nini labda huenda kimepelekea kupata UTI. nyingi hvyo. natanguliza shukran
 
Jamani naombeni msaada kwa yeyote anayejua dawa nzuri ya U.T.I ambayo haina sulphur.nikimeza dawa zenye sulphur huwa zinaniunguza.kuna daktari kaniandikia RESTATIN na AMOXYLINE.je ni sahihi mana nimeenda kununua dawa hizi muuzaji anadai restatin ni ya fungus.Niko njia panda sielewi msaada tafadhali,
 
Kuna dawa nyingi sana za uti lakini inategemea ni mdudu gani kasababisha hilo tatizo na ustahimilifu wa mtumiaji

Kujua sanasana kuwa ni dawa ipi labda ufanyiwe culture and sensitivity.lkn kama ukaongea na dactari yeye atakuuliza maswali aweza kubaini ni tabia ya wadudu gani wanaokusumbua hapo majakwa moja awezakukuambia ni dawa gani itakayokufaa.
 
Kuna mdau mmoja alisema pia ukinywa maji mengi inasaidia maana utaflash wadudu wengi.
 
Jamani naombeni msaada kwa yeyote anayejua dawa nzuri ya U.T.I ambayo haina sulphur.nikimeza dawa zenye sulphur huwa zinaniunguza.kuna daktari kaniandikia RESTATIN na AMOXYLINE.je ni sahihi mana nimeenda kununua dawa hizi muuzaji anadai restatin ni ya fungus.Niko njia panda sielewi msaada tafadhali,

Yupo sawa coz U T I huwa inawasha wakati mwingine xo mtu hujikuna sana sehemu za siri ni vema dct kukupatia dawa ya kutibu fangas then na uti mm nilipewa amoxlin na nilipona so tumia ni antibiotic
 
1.Kufanya ngono na wanaume tofauti tofauti

2.Kuchezewa sehem za siri na mwanaume wakati mikono yake ni michafu.
hapa wanawake wengi ndio hupata U.T.I mwanaume mikono michafu anakushika sehem za siri bacteria wote wanaishia kwenye uke matokeo yake utaugua U.T.I kila
siku.ikiwezekana mfanye anawe mikono kabla ya tendo

3.Kujisafisha sehemu ambapo maji yanakurukia yale ambayo unajisafishia,huingiza bacteria na kusababisha U.T.I isioisha.

4.Matumizi ya pedi zenye kemikali hapa ndipo hatari sasa,wanawake wengi tumekuwa tunaathirika kwa U.T.I kwasababu pedi nyingi tunazotumia zina kemikali ambazo zinauwa bacteria wa asili ambao huzuia U.T.I matokeo yake tutaugua hadi basi na matokeo yake ni kupata kansa ya kizazi,kuingia hedhi bila mpangilio,naweza kukushauri tumia pedi zisizokuwa na kemikali ambazo natumia hutaugua U.T.I kamwe ukizitaka hizo pedi taweka namba za simu mwisho piga namba hizo popote utaletewa.

5.Uchafu wa vyoo
Kutokusafisha vyoo husababisha ugonjwa huu kwa kasi kubwa hasa wale mnaishi vyoo vya shimo haviko visafi kwa hiyo bacteria huingia kwa uharaka sana na kupata U.T.I na wale wenye vyoo vya kisasa pia safishen kwa dawa

6.Kutokunywa maji kwa wingi
Asilimia kubwa kwa wanawake hawana desturi ya kunywa maji mengi hapa ndipo wanapo sababisha matatizo ya kupata U.T.I kila siku kwa sababu hawanywi maji mengi ili wakienda kukojoa ili bacteria watoke.

7.Kubana mkojo kwa muda mrefu.hili nalo ni tatizo kwani unaruhusu bacteria kuingia kwenye kibofu.utakuta mtu anabanwa mkojo mwenge anaenda kukojoa tegeta
U.T.I INASABABISHA SHINIKIZO LA DAMU
 
Attachments

  • uti.jpg
    uti.jpg
    11 KB · Views: 535
  • uti wa mwanamke.jpg
    uti wa mwanamke.jpg
    6.3 KB · Views: 472

1.Kufanya ngono na wanaume tofauti tofauti

2.Kuchezewa sehem za siri na mwanaume wakati mikono yake ni michafu.
hapa wanawake wengi ndio hupata U.T.I mwanaume mikono michafu anakushika sehem za siri bacteria wote wanaishia kwenye uke matokeo yake utaugua U.T.I kila
siku.ikiwezekana mfanye anawe mikono kabla ya tendo

3.Kujisafisha sehemu ambapo maji yanakurukia yale ambayo unajisafishia,huingiza bacteria na kusababisha U.T.I isioisha.

4.Matumizi ya pedi zenye kemikali hapa ndipo hatari sasa,wanawake wengi tumekuwa tunaathirika kwa U.T.I kwasababu pedi nyingi tunazotumia zina kemikali ambazo zinauwa bacteria wa asili ambao huzuia U.T.I matokeo yake tutaugua hadi basi na matokeo yake ni kupata kansa ya kizazi,kuingia hedhi bila mpangilio,naweza kukushauri tumia pedi zisizokuwa na kemikali ambazo natumia hutaugua U.T.I kamwe ukizitaka hizo pedi taweka namba za simu mwisho piga namba hizo popote utaletewa.

5.Uchafu wa vyoo
Kutokusafisha vyoo husababisha ugonjwa huu kwa kasi kubwa hasa wale mnaishi vyoo vya shimo haviko visafi kwa hiyo bacteria huingia kwa uharaka sana na kupata U.T.I na wale wenye vyoo vya kisasa pia safishen kwa dawa

6.Kutokunywa maji kwa wingi
Asilimia kubwa sisi wanawake hatuna desturi ya kunywa maji mengi hapa ndipo tunasababisha matatizo ya kupata U.T.I kila siku kwasababu hatunywi maji mengi tukaenda kukojoa ili bacteria watoke.

7.Kubana mkojo kwa muda mrefu.hili nalo ni tatizo kwani unaruhusu bacteria kuingia kwenye kibofu.utakuta mtu anabanwa mkojo mwenge anaenda kukojoa tegeta
U.T.I INASABABISHA SHINIKIZO LA DAMU

Hongera sana Mkuu kwa kuweka somo zuri!
Underline pamenishangaza kidogo! Siku zote hizo natambua MziziMkavu ni mwanaume!
 
Haeleweki. Alipoeleza matumizi a asali mbichi kutumika kuongeza nguvu za kiume ukitumia kila siku mara mbili asubuhi kabla ya kula chochote na kabla kulala kijiko kimoja kwa muda wa siku 40 alisema ametumia yeye mwenyewe. Sasa kama na hii ya leo ni kweli ina maana ni Shemale

Last edited by a moderator:

Hata mimi nililiona bandiko lake lile!
Ngoja akuje anaweza kuondosha huu utata!
 
Kuwa na,mipapuchi mipana kama sinia ni sababu mojawapo kubwa ya kupata uti kwa maana inaruhusu kundi la,bacteria ku migrate kunako k na kujibanza kwenye kuta za k..sasa,kunapotekea mvuvumuko wa,ngono na kushindiliwa k wakati wa mgegedo ndo huongeza mgandamizo wa hali ya hewa na kusababisha uti..by dr kigogo -vingweta referal hospital
 
Back
Top Bottom