Uroho wa madaraka wa CCM utaleta janga kwa taifa kwani unaunda kikosi cha wapiganaji wa dharura (RAPID FORCE)

Jana Jumamosi nilikuwa Kigsmboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.

Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.

Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.

Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.

Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
Pascal Mayalla hakika CCM mna chakujivunia

Just imagine mbegu kama hii ccm wanaipanda kila mkoa.

Alafu baadae wanadai mashehe ni magaidi, mara chadema wana vurugu
 
Kama serikali inatengeneza kundi kubwa la vijana nguvukazi ambao kazi yao ni kutangatanga kwenye mikutano ya viongozi wa kitaifa( naomba hapa tusichanganye na mikutano ya CCM) kwa ajili ya kupiga makelele na kukata viuno tujue inajenga Tanzania iliyofeli na hiyo 2050 ni ndoto ambayo haitafikiwa kamwe.
 
Jana Jumamosi nilikuwa Kigamboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.

Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.

Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.

Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.

Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.

Sijui kwa nini watu wanashindwa project future, hawa viongozi wa ccm wa ajabu sana, Furaha ya kukikabili kifo ipo katika kutendea watu mema.

Mkapa na ubabe wake wote aliishia kuandika kitabu na kukiri dhambi zake, where is He now? Gone and forgotten, he cant eny anything.

Where is Comred Magufuli, gone and forgotten, he was one of the strongest people in Tanzania, He is dead and losg his leverage!!!!

Where is Mugabe? Such a shameful end, gone and forgotten, and so many others, ni ujinga na kujilisha upepo usio kuwa na Maana.

We are all dieng
 
Hawa wote waliyatenda hayo ili wajitajirishe wao binafsi, viongozi wetu hutajirika ndani ya muda mfupi.
 
Pamoja na uchawa subiri giza linapoingia jioni uone biashara endelevu ya kunywa visungura na ngono, hilo viongozi hawalijali.
 
Hiyo kazi wamefanya sana upinzani, wamefika wapi?
Siyo kwamba wananchi wamelala, bali wanajua kuchagua kati ya mema na Mabaya. Kenya imewafikisha wapi?

Kwa taarifa yako kama hujaishi Marekani nakushauri usitamani kabisa. Maana huko watu wanauawa hovyo hovyo tena Waafrika ndo kero.

Tanzania ndo the best place to live kama hujui! Hivyo kama unaona wananchi ni waoga au wajinga we jaribu kuwaamsha Kwa kuandamana tuta-count-down mafanikio yako.
 
For the record i have been to US and UK, i know how hizo society zinavyo function. Advantages na mabaya yao, you dont need kuniambia

Second yes watanzania wamelala sana sana sana. Ndio maana viongozi wasio waadilifu (sio wote) wanaweza kuja na jambo lao likapita na wabongo wasifanye lolote.
Mwisho wa siku inapigwa campaign , na wabongo wanasahau yote yaliyopita , waanza upya na watu wale wale vitendo vile vile and circle continue

Imetokea before, na itatokea tena maana wameshawajua vile mmezubaa.
 
Jana Jumamosi nilikuwa Kigamboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.

Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.

Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.

Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.

Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
Niliwahi kusema, huko nyuma, CCM ni kama interahamwe ya kule Rwanda iliyoendesha genocide/mauaji ya kimbari!
Hv vikundi vipo tayari kuua, vikipewa Amri na CCM.
 
Waache wauane
Jana Jumamosi nilikuwa Kigamboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.

Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.

Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.

Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.

Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
 
Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
Naunga mkono hoja, hili ni angalizo zuri kwa maslahi ya taifa.
P
 
Wewe ni mtu sahihi kwenye hoja hii kwani umekuwa ukishuhudia vile vikundi vya vijana na watoto wa uhamasishaji mambo wanayoyafanya kwenye mikutano ya kitaifa, serikali imefanya jambo hili kuwa ni ajira lakini ni ajira inayochochea uhalifu na ngono, huu ndio ukweli. Hawa vijana hawabaki umri huohuo wanakua na mahitaji na ni zaidi ya uwezo wao, mwisho wa siku watakuwa waporaji pia wakati wa uchaguzi watafyatuka kumlinda SSH kama maandishi ya kwenye fulana zao zilivyoandikwa.
 
Back
Top Bottom