Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine.

==============

Just days before Russia’s brutal invasion of Ukraine began in 2022, we warned that Russia and China’s collaboration on dedollarization—the process of reducing an economy’s reliance on the US dollar for international trade and finance—would not sanction-proof Russia’s economy. And it did not. As a result of unprecedented Western sanctions, Moscow overnight became unable to transact in dollars and euros—the world’s dominant currencies.

Russia has since pursued alternatives to manage its trade and reserves. Chinese yuan and gold became the stars of the show, but both introduced new vulnerabilities and inconveniences. Yuan makes Russia dependent on Beijing’s goodwill, while gold is not as sanctions-proof as Moscow expected, and Russia has had a hard time scaling up its illicit gold trade.

Yuanization creates new vulnerabilities
In February 2022, heavily sanctioned and isolated, Russia had to find an alternative to dollar-denominated transactions. The new currency needed two characteristics: It had to be relatively stable and minted by a non-sanctioning country. Of the few eligible options, such as the Indian rupee and South African rand, China’s yuan was the only one actively seeking an international role and able to take it on.

Bloomberg L.P.

1680120431301.png
1680120460348.png
 
Hamna kitu hapo, sasa China biashara zake na nchi za magharibi ambayo ndio kubwa zaidi atafanyaje.

Hata hivyo kumezuka tena wimbi la makampuni ya Marekani kuanza kuondoka tena China, yanafanya "Disinvestment from the communist state."
 
(1)China and Brazil reached a deal to trade in their own currencies, removing the US Dollar as an intermediary.

(2)BREAKING: China and France have completed their first LNG gas trade using the Chinese Yuan

(3)BREAKING: For the first time, Israel's central banks adds Chinese yuan to its reserve currency holdings.

(4)Ursula von der Leyen, the president of the European Commission, says China is trying to change the world order and put itself at the centre of it
 
Hamna kitu hapo, sasa China biashara zake na nchi za magharibi ambayo ndio kubwa zaidi atafanyaje.

Hata hivyo kumezuka tena wimbi la makampuni ya Marekani kuanza kuondoka tena China, yanafanya "Disinvestment from the communist state."
Hawa watu wanatakiwa waseme hivi.

China na wenzake wanataka waache kutumia dollar katika biashara baina yao

Ila hakuna balance of trade bado litarudi lile lile swala la dollar kuwa watahitaji wapate Yuan zakutosha kufanya manunuzi, wakati Wachina wao ni pesa kidogo sababu import ni 30% pekee
 
JF ina tatizo naandika napost comment inafutika. Narudia kwa ufupi.

China haina demokrasia utawala wake ni chama kimoja, haijawahi kuwa na free general election hata moja, katiba yake haijatengamaa mwaka huu Xi kajibadilisha na kuchaguliwa tena kwa 100% hivi, wakati huo kamfunga Waziri wa Sheria aliyekuwa anapinga kuongezewa muda (kuna wanaJF walidhani ni uwajibikaji wa serikali). Central Bank yao sio independent kuna muda inaamuliwa ifanye devaluation ya RMB wakati $ inakuwa valued na soko. Nchi yao inaongozwa na chama CCP, jeshi na serikali vikiwa kitu kimoja wakati nchi zinazoaminika zinaongozwa na serikali, bunge, mahakama vikiwa independent.
Nchi kama hiyo ni risk kuhifadhi hela kwa sarafu yake. Ushawahi ona oligarchy wa Urusi katunza hela kwenye RMB au benki za China? Si wanatunza Switzerland na kwingine.

China itafanikiwa kufanyia biashara sarafu yake kwa kiasi fulani ila sio sarafu yake kuwa reserve ya nchi nyingine. Kwanza China inakwepa sarafu yake kupatikana sana duniani (kuna athari zinaambatana na fedha yako kuwa widely available).
Huwezi waambia Brazil wadundulize hela waweke akiba kwa sarafu ya China, kesho China wakiibuka wanaona biashara inawapiga chenga wanapunguza thamani ya sarafu, umeweka bilioni 500 zinakuwa bilioni 400 bila sababu za msingi. Au Brazil inatukana China ghafla Xi Jingpin akisema wafungie hawa, hakuna kenge pale CCP anagoma. Bora uko Marekani bunge huru linapitia au benki inaweza goma ikafungua kesi kwenye mahakama huru.

Kuna EU inafanya biashara sana na China, kuna Japan, India na South Korea ni maasimu wa asili wa China na wapo top 10 ya uchumi duniani, bado kuna Marekani yenyewe. Hizi hutoziona zinaitumia RMB, hapo tushaondoa nchi 4 za uhakika kati ya 10 ambazo 6 nyingine karibia ziko EU kina France, UK, Germany, etc. Hapo China anabaki na uhakika wa Russia ambayo ni ya 8 kwa transactions za kibiashara, wakati Marekani ndio ya kwanza kwake.

Na bado Biden mayaimayai yupo, hakai term nyingine huyu. Akija Rais aggressive kama walivyokuwa kina Reagan mtakuja gundua Marekani ina nguvu sana kiuchumi ikiamua. China bado bado tupo na status quo ileile
 
Kiongoz kubali tu kuwa china kapiga hatua kubwa katika ishu ya currency.
 
Si kweli kwa sasa ndio sarafu ya 5 inayotumika kwenye cross-border transactions nyingi duniani baada ya US dollar, Pound, Euro na Yen

Na hizi ndizo sarafu 5 pekee ambazo IMF wanaziita international reserve asset (IMF Currency Basket)
China ilitakiwa kuwa ya pili hapo, kwanini iwe ya tano. Ukiwa Tz unaweza pata hizo 5 ila Yuan hupati kirahisi wakati biashara tunayofanya na China ni kubwa kuliko hizo nchi nne nyingine.
Pound kwanini iizidi Yuan? Britain wana biashara gani duniani kuizidi China
 
Kigezo walichotumia wameangalia foreign currency reserves za hizo sarafu kwenye mataifa mbalimbali.

Ila gap kati ya Yuan na Yen; Yuan na Pound ni ndogo inakadiriwa ikifika 2030 Yuan inaweza kuwa ya tatu au hata ya pili baada US dollar kwenye international payment na foreign currency reserve
 
Hamna kitu hapo, sasa China biashara zake na nchi za magharibi ambayo ndio kubwa zaidi atafanyaje.

Hata hivyo kumezuka tena wimbi la makampuni ya Marekani kuanza kuondoka tena China, yanafanya "Disinvestment from the communist state."
Bakini na akili zenu za enzi za mkoloni,,, dunia inasonga mbele

Saudi Arabia makes move towards Russia-China bloc Saudi Arabia makes move towards Russia-China bloc

Ndo kwanza mwaka upo mwanzoni
 
Back
Top Bottom