Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
CPC: Communist Party of ChinaKirefu cha CPC ni nini ? Na kirefu cha CCP ni nini ?
CCP: Chinese Communist Party
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CPC: Communist Party of ChinaKirefu cha CPC ni nini ? Na kirefu cha CCP ni nini ?
Ndio maana kwenye comment yangu ndefu nimesema leo wala kesho hutomuona Brazil anadunduliza hela yake ya dharura ikahifadhiwa kwenye Yuan. Nikasema China atafanikiwa kufanyia transaction kwenye Yuan baadhi ya nchi na baadhi ya bidhaa ila sio hela yake kuwa foreign reserve currency ya nchi.Kigezo walichotumia wameangalia foreign currency reserves za hizo sarafu kwenye mataifa mbalimbali.
Ila gap kati ya Yuan na Yen; Yuan na Pound ni ndogo inakadiriwa ikifika 2030 Yuan inaweza kuwa ya tatu au hata ya pili baada US dollar kwenye international payment na foreign currency reserve
CCP ni name na CPC ni official name, yote ni sahihi. Mbona hujataka Japan tuiite Nippon kama wao wanavyojiita. Na Turkey iliyobadilisha jina kuwa Turkiye tutaiita Turkey hivyo. Sisi sio diplomats wala sio official forum.Huo usahihi upo wapi sasa hapo ?
Hili neno CCP ni neno la propaganda chafu dhidi ya China. Kifupi sahihi cha chama cha kikomunisti cha China katika lugha ya kimombo ni CPC duniani kote na wala sio CCP.
Unakimbiaje soko la over 10% ya wanadamu wote duniani na zaidi ya 800mil middle class?Hamna kitu hapo, sasa China biashara zake na nchi za magharibi ambayo ndio kubwa zaidi atafanyaje.
Hata hivyo kumezuka tena wimbi la makampuni ya Marekani kuanza kuondoka tena China, yanafanya "Disinvestment from the communist state."
Japan ipo kwenye maandishi yangu.Nimeuliza ulichoa andika. Japan na Turkey hazipo kwenye maandishi yako.
Official name ndicho kiwakilichi kikuu na wala sio maneno ya kuokoteza yasiyo leta maana yoyote ile ya kueleweka.
Israel's central banks adds Chinese yuan to its reserve currency holdings.Nikasema China atafanikiwa kufanyia transaction kwenye Yuan baadhi ya nchi na baadhi ya bidhaa ila sio hela yake kuwa foreign reserve currency ya nchi.
💯🤝Yuan itatumika kwenye international payments kwa bidhaa za Kichina au mauzo ya kwenda China
Kwani mrusi alipokatangaza kuanza kuuza Gas na mafuta yake kwa ruble ilikuwaje? Mbona biashara ilifanyika kama kawaida na ruble ikapanda thaman dhidi ya Dolla?Hawa watu wanatakiwa waseme hivi.
China na wenzake wanataka waache kutumia dollar katika biashara baina yao
Ila hakuna balance of trade bado litarudi lile lile swala la dollar kuwa watahitaji wapate Yuan zakutosha kufanya manunuzi, wakati Wachina wao ni pesa kidogo sababu import ni 30% pekee
Kilichopo now wanaanza na local currency zao! Ila BRICS hipo katika maandalizi ya kutengeneza currency yao ya pamojUrusi yuko na rubble anatumia tayari baada ya kupigwa pini.
Mchina mwongo huyo
Iran hamna kitu hata azire.
Rial Saudi siku nyingi na ina thamani ila akitoka hapo kwake hamna kitu
Wewe kinachokusumbua ni ushabiki wa kijiweni, hujui kwamba watu huko China wameshaanza kupoteza ajira kufuatia kuanza kuondoka kwa hayo makampuni.Who cares? Mbona China wana viwanda vyao watauza bidhaa zao tu
Ao hawajaanza kutoka leo! Anzia Trump Rais akaweka na vikwazo kibao vya kibiasharaWewe kinachokusumbua ni ushabiki wa kijiweni, hujui kwamba watu huko China wameshaanza kupoteza ajira kufuatia kuanza kuondoka kwa hayo makampuni.
China hana teknolojia yeye kama yeye na anategemea kuipata kutoka nje hasa Marekani sasa kwa hii hali China anakuwa kwenye wakati mgumu sana.
Wataka kunambia Yuan na Rubu ndio ziwe hela za matajiri ulimwenguni? emu fikiria mara mbili mbili how is it possible, tajiri aliyezoea Dola na Euro sasa akashike Real ya Saudia ArabiaRipoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine.
==============
Just days before Russia’s brutal invasion of Ukraine began in 2022, we warned that Russia and China’s collaboration on dedollarization—the process of reducing an economy’s reliance on the US dollar for international trade and finance—would not sanction-proof Russia’s economy. And it did not. As a result of unprecedented Western sanctions, Moscow overnight became unable to transact in dollars and euros—the world’s dominant currencies.
Russia has since pursued alternatives to manage its trade and reserves. Chinese yuan and gold became the stars of the show, but both introduced new vulnerabilities and inconveniences. Yuan makes Russia dependent on Beijing’s goodwill, while gold is not as sanctions-proof as Moscow expected, and Russia has had a hard time scaling up its illicit gold trade.
Yuanization creates new vulnerabilities
In February 2022, heavily sanctioned and isolated, Russia had to find an alternative to dollar-denominated transactions. The new currency needed two characteristics: It had to be relatively stable and minted by a non-sanctioning country. Of the few eligible options, such as the Indian rupee and South African rand, China’s yuan was the only one actively seeking an international role and able to take it on.
Bloomberg L.P.
View attachment 2570430View attachment 2570434
Matajiri walitoka wapi si kwa biashara tu za kila siku ogopa sana nguvu ya sokoWataka kunambia Yuan na Rubu ndio ziwe hela za matajiri ulimwenguni? emu fikiria mara mbili mbili how is it possible, tajiri aliyezoea Dola na Euro sasa akashike Real ya Saudia Arabia
Yaani unapiteza muda kumjibu huyo jamaa?Wewe kinachokusumbua ni ushabiki wa kijiweni, hujui kwamba watu huko China wameshaanza kupoteza ajira kufuatia kuanza kuondoka kwa hayo makampuni.
China hana teknolojia yeye kama yeye na anategemea kuipata kutoka nje hasa Marekani sasa kwa hii hali China anakuwa kwenye wakati mgumu sana.
Suala la kupoteza ajira hilo haliepukiki nilishasema.Yaani unapiteza muda kumjibu huyo jamaa?
Foxconn ilikuwa imeajiri watu 100,000 Kiwanda kinahama
Hayo makampuni yanaondoka kwa sababu za kisiasa kwa sababu wanahofia kuinuka kwa China kiuchumi na kuwa miongoni mwa mataifa yenye nguvu na ushawishi duniani.Huko China wameshaanza kupoteza ajira kufuatia kuanza kuondoka kwa hayo makampuni.
Hayo makampuni yaje kwa SamiaHamna kitu hapo, sasa China biashara zake na nchi za magharibi ambayo ndio kubwa zaidi atafanyaje.
Hata hivyo kumezuka tena wimbi la makampuni ya Marekani kuanza kuondoka tena China, yanafanya "Disinvestment from the communist state."
Ulishawahi kutembelea Shenzhen Silicon Valley uone jinsi serikali ya China inasupport kwa kumwaga mpunga wa kutosha katika invention, innovation na R&D kwa watu wenye idea na makampuni.China hana teknolojia yeye kama yeye na anategemea kuipata kutoka nje hasa Marekani