Urusi: Facebook yazuiwa kisa taarifa tata katika vita yao na Ukraine

Urusi: Facebook yazuiwa kisa taarifa tata katika vita yao na Ukraine

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati huu wa vita yao na Ukraine.

Maamuzi hayo yameongeza presha kubwa kwa vyombo vya ndani ya Urusi ambavyo vinatishiwa kufungiwa ikiwa watatoa taarifa za uwongo kuhusu kinachoendelea kwa majeshi ya taifa hilo kuivamia Ukraine kama Urusi wanavyodai kuwa taarifa zinazotopewa kipaumbele ni zile zinazowakandamiza wao.

Mkuu wa Kitengo cha Matukio ya Kimataifa wa Meta, Nick Clegg amesema: “Mamlaka za Urusi zilitutaka kuzuia taarifa zote zinazohusiana na vita katika mtandao wetu, tukawaambia hatuwezi kufanya hivyo, ndipo wakaamua kufungia huduma yetu.”

Source: Reuters

960x0.jpg

============================================================================

Russia to restrict Facebook access for 'censoring' its media

(Reuters) - Moscow said on Friday it was partially limiting access to Meta Platforms Inc's (FB.O) Facebook, accusing it of "censoring" Russian media, announcing the measure a day after Russia invaded Ukraine and the latest in a series of steps against U.S. social media giants.

Moscow has also increased pressure on domestic media, threatening to block reports that contain what it describes as "false information" regarding its military operation in Ukraine, where Russian missiles were pounding Kyiv and families cowered in shelters.

The state communications regulator said Facebook had ignored its demands to lift restrictions on four Russian media outlets on its platform - RIA news agency, the Defence Ministry's Zvezda TV, and websites gazeta.ru and lenta.ru.

Meta's head of global affairs, Nick Clegg, said in a statement on Twitter: "Yesterday, Russian authorities ordered us to stop the independent fact-checking and labelling of content posted to Facebook by four Russian state-owned media organizations. We refused. As a result, they have announced they will be restricting the use of our services."
 
Puttin kakurupuka kama Bush na Tony Blair wakati ule.
Mmarekani mweusi toka Mwabepande unajitutumua sana sababu ni nini hasa hadi ukaze fuvu namna hiyo kujipendekeza kwa USA?

Unaelewa hata DRC si maisha yao waliyokuwa wanastahili kuyaishi isipokuwa sababu ni USA tokana na madini waliyojaliwa DRC na kuchotwa na hao mabeberu na kuwauzia silaha?

Hivi unatambua hata maisha yako ya sasa hivi unayoishi ktk nchi yako TZ yamesababishwa na huyo huyo smiling devil (USA)?

Unafahamu huna sauti yoyote ktk vikao vya UN kulingana na sera zao za VETO POWER japo we ni mchangiaji Mkuu wa maendeleo yao kiuchumi tokana na rasilimali zako?

Bado tu unawapapatikia wanavyotupatia misaada ya kinafki kama neti, VAR, kondomu na mikataba kandamizi kwa zaidi ya miaka 60 na kutufanya tuwe nchi ya kuomba omba tu pesa kwao ilihali tumejaliwa rasilimali madini, mbuga za wanyama mlima wa Kilimanjaro, maziwa mito, ardhi ya rutuba na blue economy?

Hivi unafahamu unachopewa ikiwa ni misaada ni 10% - 20% ilihali kinachochukuliwa na mabeberu ni zaidi ya 80% - 90% ktk nchi yako?

Au nawe ni pandikizi la mabeberu unayenufaika na kuwasifia sana hata wasipostahili sifa?
 
Mimi naamini raia wengi wa Russia hawaungi mkono hii vita. Haya manasiasa masengerema Sana
 
Mimi hata Marekani walipoivamia Iraq, sikuwaunga mkono. Vita ni kutesa,kuua na kutia watu vilema hivyo ukiwa na akili, huwezi kumuunga mkono kiongozi yoyote anaeanzisha vita.
Chanzo cha yote hayo ni huyo huyo USA na ila sababu TZ tumeshashikishwa akili na nchi za magharibi basi tukishavimbirwa wali na maharagwe huwa tunawahusudu USA na nchi za magharibi(EU) kama malaika vile na kuilaumu RUSSIA.
 
Mimi hata Marekani walipoivamia Iraq, sikuwaunga mkono. Vita ni kutesa,kuua na kutia watu vilema hivyo ukiwa na akili, huwezi kumuunga mkono kiongozi yoyote anaeanzisha vita.
Sijaona tofauti ya Putin na Meko zaidi ya hii moja... Putin anaua majirani zake wakati Meko akiua ndugu zake

Akili za kipopoma sana hizi. Badala ya kutetea uhai wa binadamu unaleta ubabe wa kuua binadamu wenzio wakati wewe umejichimbia ikulu unalindwa na silaha zote.

Pathetic
 
Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kama mtumwa kwa maonesho sababu ya makalio makubwa
_119878865_da189a05-9f7c-484e-9291-1e0f7e9cc1a2.jpg

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Mmarekani mweusi toka Mwabepande unajitutumua sana sababu ni nini hasa hadi ukaze fuvu namna hiyo kujipendekeza kwa USA?

Unaelewa hata DRC si maisha yao waliyokuwa wanastahili kuyaishi isipokuwa sababu ni USA tokana na madini waliyojaliwa DRC na kuchotwa na hao mabeberu na kuwauzia silaha?

Hivi unatambua hata maisha yako ya sasa hivi unayoishi ktk nchi yako TZ yamesababishwa na huyo huyo smiling devil (USA)?

Unafahamu huna sauti yoyote ktk vikao vya UN kulingana na sera zao za VETO POWER japo we ni mchangiaji Mkuu wa maendeleo yao kiuchumi tokana na rasilimali zako?

Bado tu unawapapatikia wanavyotupatia misaada ya kinafki kama neti, VAR, kondomu na mikataba kandamizi kwa zaidi ya miaka 60 na kutufanya tuwe nchi ya kuomba omba tu pesa kwao ilihali tumejaliwa rasilimali madini, mbuga za wanyama mlima wa Kilimanjaro, maziwa mito, ardhi ya rutuba na blue economy?

Hivi unafahamu unachopewa ikiwa ni misaada ni 10% - 20% ilihali kinachochukuliwa na mabeberu ni zaidi ya 80% - 90% ktk nchi yako?

Au nawe ni pandikizi la mabeberu unayenufaika na kuwasifia sana hata wasipostahili sifa?
Asante

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom