Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo.

=============

On July 18, the Nova Khakovka district police department (Kherson region) confirmed an explosion at a warehouse understood to be a Russian ammunition depot used by the occupiers. A video of the explosion began to appear on social media.

This follows a large-scale explosion in the same area last week. On July 12, the Ukrainian operational command confirmed the destruction of a Russian warehouse containing ammunition.

“According to the results of firing missions by our rocket and artillery units, the enemy lost 52 militants, rocket launchers, a howitzer “Msta-B,” a mortar, seven units of armored and motor vehicles, and a warehouse with ammunition in Nova Kakhovka”, – the official message stated.

It is not the first time that a warehouse containing Russian ammunition has exploded in Russian occupied territories. The Ukrainian side reports that missiles from the HIMARS system caused the explosions. Ukraine received this new weapon from the U.S. in June, which allows the Ukrainian Army to shoot over longer distances.

Ukrainian intelligence is actively working on identifying Russian ammunition storage sites, military equipment, areas of weapons accumulation, and supply routes for advanced Russian units.

... naona dikteta Putin kashuka Tehran kutafuta dawa ya HIMARS kwa Ayatollah. HIMARS zijaindae kuchakazwa soon very soon.
 
team rainbow ktk ubora wenu wa propaganda.
Si unajua tena ma armchair war planners katika ubora wao!!! Ukimuhoji, hivi zile Drones za Kitruki mlizokuwa mnazipigia debe na kuzochukulia kwamba ndio zitakuwa kaburi la jeshi la Putin zimeishia wapi?

Tume ambiwa baada ya Russian Air Defense system kuzifanyia mahesabu makali drones za Kitruki huko Ukraine siku hizi hazisumbui tena zinafagiliwa kutoka angani kama inzi ie swept out of the sky like flies by formidable Russian Air defense Systems!!

Hata hizi HIMARS na MRLS, Mrusi anazifanyia mahesabu na muda si mrefu hutazisikia tena zikitamba hewani and besides binafsi sioni kama Serikali ya Zelensky au mwenyewe ata survive mpaka mwisho wa vita hii,amekwisha anza kutibuwa inner circle ya viongozi wenzake wanao mlinda hivyo hasitegemee kwamba ataendelea kubaki madarakani huku wenzake wakimwangalia tu bila ya kumtoa pumzi ili kunusuru Taifa lao la Ukraine dhidi ya kiongozi mkahidi, mbishi, kig'ang'anizi na who cannot see beyond his noses.
 
Na Urusi kashakamata HIMARS launcher moja sasa ombeni Mungu isiendee pale Tehran Iran mbona mtalia

Hadi hapo hata akikamata zote keshapata kipigo cha kutosha, hayo mavitu sio mchezo, moja inasababisha uharibifu mkubwa sana na bado viwandani wanaendelea kuzalisha.

Ni kama zile javelins za kubebea mabegani, yaani zilifyeka msafara wa vifaru, kifaru kimoja gharama yake halafu kinaonoshwa kizembe na mbeba javelin.
 
Mkuu unajua kupambanisha vita.

Kuna plot low densitu Mogadishu wanakupa bure
 
Na bado zinaongezwa zaidi, na kuna aina nyingine bado hazijajaribishwa, katumiwa hiyo kumbeep tu, na kwa namna ameyumbishwa ni wazi atateseka sana.
Kiduku kapewa kazi ya kulinda miji iliyo chukuliwa na urusi sijui kama umesikia .....sijui kama unajua nini maana yake
 
Hadi hapo hata akikamata zote keshapata kipigo cha kutosha, hayo mavitu sio mchezo, moja inasababisha uharibifu mkubwa sana na bado viwandani wanaendelea kuzalisha.

Ni kama zile javelins za kubebea mabegani, yaani zilifyeka msafara wa vifaru, kifaru kimoja gharama yake halafu kinaonoshwa kizembe na mbeba javelin.
Dawa ya hizo chuma chakavu za [emoji631] ni russia kulipua satelite tu ...sema urusi aijamua kuidungua [emoji631] hivyo wanatumia mbinu zingine
 
Si unajua tena ma armchair war planners katika ubora wao!!! Ukimuhoji, hivi zile Drones za Kitruki mlizokuwa mnazipigia debe na kuzochukulia kwamba ndio zitakuwa kaburi la jeshi la Putin zimeishia wapi?

Tume ambiwa baada ya Russian Air Defense system kuzifanyia mahesabu makali drones za Kitruki huko Ukraine siku hizi hazisumbui tena zinafagiliwa kutoka angani kama inzi ie swept out of the sky like flies by formidable Russian Air defense Systems!!

Hata hizi HIMARS na MRLS, Mrusi anazifanyia mahesabu na muda si mrefu hutazisikia tena zikitamba hewani and besides binafsi sioni kama Serikali ya Zelensky au mwenyewe ata survive mpaka mwisho wa vita hii,amekwisha anza kutibuwa inner circle ya viongozi wenzake wanao mlinda hivyo hasitegemee kwamba ataendelea kubaki madarakani huku wenzake wakimwangalia tu bila ya kumtoa pumzi ili kunusuru Taifa lao la Ukraine dhidi ya kiongozi mkahidi, mbishi, kig'ang'anizi na who cannot see beyond his noses.
Kwanza kabla ya yote lazima ujiulize Ukraine alikua na drone ngapi wakati Vita inaanza?! Inasemekana zilikua drone dozen 2-3 za Bayraktar ambazo ni Kama tone kwenye Bahari kupigana Kwa jeshi kubwa Kama la Urusi,pia hizo Bayraktar hata sio sophisticated drones Kama zilivyo za Israel au Marekani hata ukiangalia specifications zake zipo Slow,zinabeba payload ndogo (4 MAM missiles max),hazipai umbali mrefu na wala hazipai Kwa umbali mkubwa kutoka ardhini na wala sio stealth mpaka Mimi mwenyewe nikawa najiuliza jeshi kubwa kama la Urusi linahangaishwaje na vidrone Kama hivi wakati ndo linajisifu lina air defense za Hali ya juu kuliko nchi yoyote Ile.

Pili kuna hizi HIMARS,mpaka sasa Ukraine wanazo nane tu lakini zimeshaharibu karibu dozen mbili za ammunition depot za Mrusi ambazo bila Shaka zinalindwa na air defenses. Sasa swali la kujiuliza,je hizi air defense zimeshindwa kuzitungua au ni kwamba hizi air defenses hazina ubora na sifa zinazopewa!!!!!

HIMARS zimewachanganya warusi mpaka Shoigu katembelea huko Donbas kuhimiza wanajeshi wafanye kila linalowezekana waharibu hizi rocket
War | Russia orders its forces to destroy Ukraine’s long-range missile and artillery systems
 
Hadi hapo hata akikamata zote keshapata kipigo cha kutosha, hayo mavitu sio mchezo, moja inasababisha uharibifu mkubwa sana na bado viwandani wanaendelea kuzalisha.

Ni kama zile javelins za kubebea mabegani, yaani zilifyeka msafara wa vifaru, kifaru kimoja gharama yake halafu kinaonoshwa kizembe na mbeba javelin.
Hawajakamata kitu Mkuu,Kwanza wanazikamataje hizo launchers wakati zipo mbali na hizo targets karibu 50miles away. Itakua kachanganya hizo na towed howiterz kina M777 ndo niliona moja imeshikwa
 
Back
Top Bottom