Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

Dawa ya hizo chuma chakavu za [emoji631] ni russia kulipua satelite tu ...sema urusi aijamua kuidungua [emoji631] hivyo wanatumia mbinu zingine
Jielimishe kwanza Kabla ya kupost. ERON Musk pekee Kampuni Yake ya STAR LINK Ina Satellite zaidi ya 2,000 kwenye Orbit. Marekani Ina Satellite zaidi ya 8,000 kwenye Orbit ikifuatiwa na China yenye 400 TU. Huwezi Kulipua Satellite zaidi ya 10,000 halafu ubaki salama hapa Duniani. Debris (Mabaki) Yake yakirudi Duniani kila yatakapoangukia Ni Kisanga.
 
Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo.

=============

On July 18, the Nova Khakovka district police department (Kherson region) confirmed an explosion at a warehouse understood to be a Russian ammunition depot used by the occupiers. A video of the explosion began to appear on social media.

This follows a large-scale explosion in the same area last week. On July 12, the Ukrainian operational command confirmed the destruction of a Russian warehouse containing ammunition.

“According to the results of firing missions by our rocket and artillery units, the enemy lost 52 militants, rocket launchers, a howitzer “Msta-B,” a mortar, seven units of armored and motor vehicles, and a warehouse with ammunition in Nova Kakhovka”, – the official message stated.

It is not the first time that a warehouse containing Russian ammunition has exploded in Russian occupied territories. The Ukrainian side reports that missiles from the HIMARS system caused the explosions. Ukraine received this new weapon from the U.S. in June, which allows the Ukrainian Army to shoot over longer distances.

Ukrainian intelligence is actively working on identifying Russian ammunition storage sites, military equipment, areas of weapons accumulation, and supply routes for advanced Russian units.

😀😀😂
 
... naona dikteta Putin kashuka Tehran kutafuta dawa ya HIMARS kwa Ayatollah. HIMARS zijaindae kuchakazwa soon very soon.
Pale kaenda omba recon drone, ili aweze jua HIMARS zahifadhiwa wapi.

Asichojua sisi tuko mbele yake twazitoa usiku mnene sana
 
Hadi hapo hata akikamata zote keshapata kipigo cha kutosha, hayo mavitu sio mchezo, moja inasababisha uharibifu mkubwa sana na bado viwandani wanaendelea kuzalisha.

Ni kama zile javelins za kubebea mabegani, yaani zilifyeka msafara wa vifaru, kifaru kimoja gharama yake halafu kinaonoshwa kizembe na mbeba javelin.
Walivyo na sifa wasiturekodie hata video
 
Hawajakamata kitu Mkuu,Kwanza wanazikamataje hizo launchers wakati zipo mbali na hizo targets karibu 50miles away. Itakua kachanganya hizo na towed howiterz kina M777 ndo niliona moja imeshikwa
Waoneshe hata picha tuone, maana hauwezi piga hizo launchers kama hujaona zilipo. Urusi hana artillery inayoweza zifikia,sama sana atumie missiles.
Ili alilipue inabidi awe na drone ya kuzifatilia.
Uwezo huo hana ndo maana kaenda Iran
 
Jielimishe kwanza Kabla ya kupost. ERON Musk pekee Kampuni Yake ya STAR LINK Ina Satellite zaidi ya 2,000 kwenye Orbit. Marekani Ina Satellite zaidi ya 8,000 kwenye Orbit ikifuatiwa na China yenye 400 TU. Huwezi Kulipua Satellite zaidi ya 10,000 halafu ubaki salama hapa Duniani. Debris (Mabaki) Yake yakirudi Duniani kila yatakapoangukia Ni Kisanga.
Na ndio maana kuna dead satellites nyingi angani
 
Si unajua tena ma armchair war planners katika ubora wao!!! Ukimuhoji, hivi zile Drones za Kitruki mlizokuwa mnazipigia debe na kuzochukulia kwamba ndio zitakuwa kaburi la jeshi la Putin zimeishia wapi?

Tume ambiwa baada ya Russian Air Defense system kuzifanyia mahesabu makali drones za Kitruki huko Ukraine siku hizi hazisumbui tena zinafagiliwa kutoka angani kama inzi ie swept out of the sky like flies by formidable Russian Air defense Systems!!

Hata hizi HIMARS na MRLS, Mrusi anazifanyia mahesabu na muda si mrefu hutazisikia tena zikitamba hewani and besides binafsi sioni kama Serikali ya Zelensky au mwenyewe ata survive mpaka mwisho wa vita hii,amekwisha anza kutibuwa inner circle ya viongozi wenzake wanao mlinda hivyo hasitegemee kwamba ataendelea kubaki madarakani huku wenzake wakimwangalia tu bila ya kumtoa pumzi ili kunusuru Taifa lao la Ukraine dhidi ya kiongozi mkahidi, mbishi, kig'ang'anizi na who cannot see beyond his noses.
wenzio wanatest mitambo hawatak vita iishe , jiuliz kwnn watoe 12 tu

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hivi air defense hasa S-300 au S-400 zina uwezo wa ku- intercept na kutungua missiles zinazorushwa na HIMARS au MLRS ? T14 Armata
 
Back
Top Bottom