Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

Dawa ya hizo chuma chakavu za [emoji631] ni russia kulipua satelite tu ...sema urusi aijamua kuidungua [emoji631] hivyo wanatumia mbinu zingine
Jielimishe kwanza Kabla ya kupost. ERON Musk pekee Kampuni Yake ya STAR LINK Ina Satellite zaidi ya 2,000 kwenye Orbit. Marekani Ina Satellite zaidi ya 8,000 kwenye Orbit ikifuatiwa na China yenye 400 TU. Huwezi Kulipua Satellite zaidi ya 10,000 halafu ubaki salama hapa Duniani. Debris (Mabaki) Yake yakirudi Duniani kila yatakapoangukia Ni Kisanga.
 
😀😀😂
 
... naona dikteta Putin kashuka Tehran kutafuta dawa ya HIMARS kwa Ayatollah. HIMARS zijaindae kuchakazwa soon very soon.
Pale kaenda omba recon drone, ili aweze jua HIMARS zahifadhiwa wapi.

Asichojua sisi tuko mbele yake twazitoa usiku mnene sana
 
Walivyo na sifa wasiturekodie hata video
 
Hawajakamata kitu Mkuu,Kwanza wanazikamataje hizo launchers wakati zipo mbali na hizo targets karibu 50miles away. Itakua kachanganya hizo na towed howiterz kina M777 ndo niliona moja imeshikwa
Waoneshe hata picha tuone, maana hauwezi piga hizo launchers kama hujaona zilipo. Urusi hana artillery inayoweza zifikia,sama sana atumie missiles.
Ili alilipue inabidi awe na drone ya kuzifatilia.
Uwezo huo hana ndo maana kaenda Iran
 
Na ndio maana kuna dead satellites nyingi angani
 
wenzio wanatest mitambo hawatak vita iishe , jiuliz kwnn watoe 12 tu

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hivi air defense hasa S-300 au S-400 zina uwezo wa ku- intercept na kutungua missiles zinazorushwa na HIMARS au MLRS ? T14 Armata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…