Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Hata mimi ni Pro Mr.Moscovistch /Putin,🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi ni Pro Mr.Moscovistch /Putin,🤔
Tunamtaka kanali mstaafu mwingine tumsikie anasemaje, huyu tumemchoka. Marekani inao makanali wastaafu zaidi ya elfu ishirini.
[emoji1][emoji1][emoji1]Tunamtaka kanali mstaafu mwingine tumsikie anasemaje, huyu tumemchoka. Marekani inao makanali wastaafu zaidi ya elfu ishirini.
Hio technology ya america nuclear ilifuata nn ukraineKabla na baada ya uvamizi ni kipindi gani military activities zimeongezeka zaidi Ukraine?
***** wametupanga sana movie zao! Kwenye movie wanaenda makomandoo 6 tu wanaenda kufyeka wanajeshi pinzani 100! Ila field mambo ni tofauti mazeeApeleke wale makomando wanaowaonesha kwenye TV wakakikomboe kinu
.Hakuna uhuru usio na mipaka mkuu! Juzi tu Elon Mask alikuwa anasema serikali ya marekani inaweza kuingilia mpaka DM za member wa Twitter! Je Whatsapp? Facebook? Bas jua uhuru wako una mipaka.
***** wametupanga sana movie zao! Kwenye movie wanaenda makomandoo 6 tu wanaenda kufyeka wanajeshi pinzani 100! Ila field mambo ni tofauti mazee
Now napendelea movie za kijasusiUmeacha kuziangalia sasa baada ya kugundua ulikuwa "unapangwa" sana?
Kabla ya kuchambua vita vya Urusi ungeanza na kujifunza kwanza. Kinu hicho hakijajengwa na US ila Urusi yenyewe, hivyo mambo sijui ya reverse engineering hayapo. Pia katika uandishi wa kawaida huwezi anza na tatu kabla ya 1, na 2. Wafuasi wa Urusi mna akili za style ile ya Dr. wa nyumba za Lugumi.Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine
Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake
Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki
Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology
Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?
Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?
Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...
Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse
Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani
Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?
View attachment 2593057
Kabla ya kuchambua vita vya Urusi ungeanza na kujifunza kwanza. Kinu hicho hakijajengwa na US ila Urusi yenyewe, hivyo mambo sijui ya reverse engineering hayapo. Pia katika uandishi wa kawaida huwezi anza na tatu kabla ya 1, na 2. Wafuasi wa Urusi mna akili za style ile ya Dr. wa nyumba za Lugumi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hili ni swali muhimu sana katika mada hii.Hio technology ya america nuclear ilifuata nn ukraine
sasa na wewe si ulete vya kwako vizito unapinga ya mwenzako leta yako weka hapa tupitie ...Umeandika vitu vyepesi bila kujua lolote.Unahisi tu.
ueah marekani imestaarabika ila libya iraq .siria afghanistan marekani alizivamia ni sawa tu au hazo habari ni za miaka ya 1890 huko etNini maana ya milele? Marekani anakoroma kwa uvamizi mzima wa Ukraine. Hii ndoto ya Putin unayoizungumzia hapa ndio inayopingwa na nchi zote zilizostaarabika duniani. Mipaka ya kila nchi lazima iheshimiwe.
huyo jamaa hana akili kabisa eti marekani imestaarabika ishiiiiUrusi Hana shida ya maeneo ila Kwa kireherehe cha Ukraine ameamua kuchukua Maeneo yake alafu unaita Marekani nchi iliyostaarabika nakuona huna Akili
Uhuru Gani !?wa urusi wakiongea ukwel lazima watafute pa kwenda pia maana kuuawa kunafuata ila USA kila mtu ana uhuru
Siyo lazima.Kwani huoni?sasa na wewe si ulete vya kwako vizito unapinga ya mwenzako leta yako weka hapa tupitie ...
Kama kiswahili kwako tatizo, si ungeandika kwa kutumia kiingereza? Mara tatu, nne wakati hata Mosi na pili hayapo mbongo bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine
Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake
Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki
Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology
Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?
Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?
Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...
Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse
Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani
Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?
View attachment 2593057
Ok sawaKama kiswahili kwako tatizo, si ungeandika kwa kutumia kiingereza? Mara tatu, nne wakati hata Mosi na pili hayapo mbongo bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe pambana kwanza na report ya CAG nchini kwako ya nje yamekuzidi mbali sana!!
Wakati huohuo wao wanasema Urusi anapoteza deile.Kumbe wamekiteka hiki? Yaani kipo mikononi mwao sasa?!!!
Kama ni hivyo, yeye mmarekani angeweza ateke kitu halafu azuiwe kukigusa?!!!! Yaani alishindwa kukizuia kabisa kisitekwe apige mikwara sasa hv? Kweli Putin ni mwamba; yaani hiki kinu cha nuclear kikubwa zaidi ulaya yote? Tena kinaangaliwa kwa karibu na Marekani!!!!
Hisia zangu zinaniambia hiki ndicho haswa alichokuwa anakitaka, huko kwingine ni kuwapoteza maboya tu timu upinde.