Urusi ilikuwa sahihi kuivamia Ukraine

Urusi ilikuwa sahihi kuivamia Ukraine

Tunamtaka kanali mstaafu mwingine tumsikie anasemaje, huyu tumemchoka. Marekani inao makanali wastaafu zaidi ya elfu ishirini.
[emoji1][emoji1][emoji1]
Screenshot_20230314-125829_100821.jpg
 
Umeacha kuziangalia sasa baada ya kugundua ulikuwa "unapangwa" sana?
***** wametupanga sana movie zao! Kwenye movie wanaenda makomandoo 6 tu wanaenda kufyeka wanajeshi pinzani 100! Ila field mambo ni tofauti mazee
 
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine

Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake

Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki

Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology

Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?

Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?

Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...

Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse

Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani

Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?

View attachment 2593057
Kabla ya kuchambua vita vya Urusi ungeanza na kujifunza kwanza. Kinu hicho hakijajengwa na US ila Urusi yenyewe, hivyo mambo sijui ya reverse engineering hayapo. Pia katika uandishi wa kawaida huwezi anza na tatu kabla ya 1, na 2. Wafuasi wa Urusi mna akili za style ile ya Dr. wa nyumba za Lugumi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hio technology ya america nuclear ilifuata nn ukraine
Hili ni swali muhimu sana katika mada hii.
Tukiwaambia kua USA Ina Nia ovu juu ya Urusi hawakubali.
Kupeleka nuke Cuba sio sawa,lkn kupeleka nuke Ukraine ni sawa.
Halafu Kuna vijitu vinatoa Hadi mishipa ya shingo oooh Urusi Hana sababu ya kuivamia Ukraine.
Demilitarization inaendelea kupata mafanikio.
 
Nini maana ya milele? Marekani anakoroma kwa uvamizi mzima wa Ukraine. Hii ndoto ya Putin unayoizungumzia hapa ndio inayopingwa na nchi zote zilizostaarabika duniani. Mipaka ya kila nchi lazima iheshimiwe.
ueah marekani imestaarabika ila libya iraq .siria afghanistan marekani alizivamia ni sawa tu au hazo habari ni za miaka ya 1890 huko et
 
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine

Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake

Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki

Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology

Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?

Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?

Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...

Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse

Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani

Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?

View attachment 2593057
Kama kiswahili kwako tatizo, si ungeandika kwa kutumia kiingereza? Mara tatu, nne wakati hata Mosi na pili hayapo mbongo bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wewe pambana kwanza na report ya CAG nchini kwako ya nje yamekuzidi mbali sana!!
 
Ok sawa
 
Kumbe wamekiteka hiki? Yaani kipo mikononi mwao sasa?!!!

Kama ni hivyo, yeye mmarekani angeweza ateke kitu halafu azuiwe kukigusa?!!!! Yaani alishindwa kukizuia kabisa kisitekwe apige mikwara sasa hv? Kweli Putin ni mwamba; yaani hiki kinu cha nuclear kikubwa zaidi ulaya yote? Tena kinaangaliwa kwa karibu na Marekani!!!!

Hisia zangu zinaniambia hiki ndicho haswa alichokuwa anakitaka, huko kwingine ni kuwapoteza maboya tu timu upinde.
Wakati huohuo wao wanasema Urusi anapoteza deile.
 
Back
Top Bottom