Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

Marekani anachofanyaga ni kuwamia nchi za watu alafu wanaweka watu wao serikalini Kwa hiyo wanachukua maliasili kiulaini.ukraine Yale majimbo ni ya asili ya urusi ndo maana ameyachukua.kwa hiyo dunia ya Leo ni kuvamia nchi na kuweka watu wako?hakuna nchi iliyovamia nchi nyingi kama USA.
 
Uko dunia gani ndugu yangu? Kama dunia ya sasa hakuna mtu anaevamia ardhi ya nchi nyingine, afu kile kinachofanywa na Russia kuingiza jeshi katika baadhi ya maeneo ya nchi nyingine na kuyafanya majimbo yake nayo ni ya zama za kina Alexandra.
 
Urusi TU ndiyE ANAYEFANYA MAMBO HAYO YA KIZAMANI NDIYO MAANA AMEANZA KUKOSA HESHIMA HATA KWA WASHKAJI WAKE WA KARIBU WA INDIA NAO WALISHAMWAMBIA AACHANE NA HUO UFALA WA KIZAMANI.
 
Acha tu mkuu, Putin katuvunja moyo mno.
Yan hatuna hata mahali pa kwenda kuficha sura zetu, bora yey Putin kajificha kwenye handaki akumbani na changamoto za kuulizwa ulizwa kuhusu kushindwa kwake kama tunavyoulizwa sisi wapambe wake.
 
Urusi TU ndiyE ANAYEFANYA MAMBO HAYO YA KIZAMANI NDIYO MAANA AMEANZA KUKOSA HESHIMA HATA KWA WASHKAJI WAKE WA KARIBU WA INDIA NAO WALISHAMWAMBIA AACHANE NA HUO UFALA WA KIZAMANI.
Hapa nimekuelewa mkuu.
 
Yan hatuna hata mahali pa kwenda kuficha sura zetu, bora yey Putin kajificha kwenye handaki akumbani na changamoto za kuulizwa ulizwa kuhusu kushindwa kwake kama tunavyoulizwa sisi wapambe wake.
Pole sana mkuu kwa kuchagua kuwa upande wa washindwaji.
 
shida unachanganya soviet na Russia.
Soviet ni umoja wa nchi ulioanzishwa miaka ya 1900+ wakati Russia ni taifa la tokea karne ya saba BK
 
Hakuna kitu kama hicho
 
Sidhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…