Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Putin ni mandonga mweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu putin kaingia cha kike. Kapanikishwa kaingia mzima mzima. Hapo ndio wengi wanapokosea. Bora angebaki na kuwa mbabe wa kuchongwa. Angestafu kwa heshima na angebaki kwenye historia nzuri ya kuogofya. Hivi sasa atastafu kama mwanamke mrembo tuhizo ndio polojo tuliokuwa tukiaminishwa toka tukiwa shule ya msingi, kuwa URUSI ni jitu kubwa na hatari sana kwenye medani za kivita, na dunia kuliamini kinachoonekana sasa hivi ni tofauti kabisa na uongo ule!! eti USA,ana muogopa sana URUSI,?! kama vi ji siraha hivyo vidogo tu kwa USA, ni kama manati tu ambavyo ana mpatia UKRAINE, tayari mbambe wa mchogo yupo hoi! Sasa akianza kutumia japo gobole itakuwaje?!
leo hii hata maeneo ambayo ameyatangaza kuwa sasa ni mali ya Urusi yameanza kuchukuliwa na UKRAINE. URUSI wakati vita inaanza alisema ole wake atakaye msaidia Ukraine naye atajumuishwa humo humo, nini kimemkuta USA?
Mmeshindwa kuelewa metaphor.
Tembo ana mwili mkubwa na mwenye nguvu lakini siku zote wanajaribu kukaa mbali na simba sababu ya tabia zao.
Simba ukimbana na akachoka atafanya chochote kile ili akumalize na haijalishi kama atakufa.
Pamoja kakaMkuu hakika wewe unaona mbali sana. Asante kwa ufafanuzi ulionyooka.
Ila tukiacha utani wakuu USA ana vichwa vinavyosuka sana mipango aiseee
Yan USA si ajabu akatumia miaka 10 kukusaka uingie kwenye king yake na ukikaa hapo anashikalia hadi mwisho ko haitakuwa ajabu Putin akitolewa madarakan miaka inagokuja
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Huu ukweli mchungu mno.Mkuu Mmarekani kupitia CIA yake, kamwe huwa hawaingii kwenye vita au kufadhili vita bila kufanya research yoyote ili kujiridhisha kwanza na kile watachokifanya.
Kwahiyo toka mwanzo wa vita au kabla ya vita, tayari Mmarekani alikuwa ashajua kwamba ni lazima Russia itakuja tu kushindwa vita (haijalishi ni lini) afu ndipo hapo watakapokamilisha mipango yao.
Sikiliza rafiki. Mimi na wewe hatujui the real strategy za Urusi au USA zingine siri. Anachotamka kila mmoja sio kile anamaanisha.hizo ndio polojo tuliokuwa tukiaminishwa toka tukiwa shule ya msingi, kuwa URUSI ni jitu kubwa na hatari sana kwenye medani za kivita, na dunia kuliamini kinachoonekana sasa hivi ni tofauti kabisa na uongo ule!! eti USA,ana muogopa sana URUSI,?! kama vi ji siraha hivyo vidogo tu kwa USA, ni kama manati tu ambavyo ana mpatia UKRAINE, tayari mbambe wa mchogo yupo hoi! Sasa akianza kutumia japo gobole itakuwaje?!
leo hii hata maeneo ambayo ameyatangaza kuwa sasa ni mali ya Urusi yameanza kuchukuliwa na UKRAINE. URUSI wakati vita inaanza alisema ole wake atakaye msaidia Ukraine naye atajumuishwa humo humo, nini kimemkuta USA?
🤣🤣🤣🤣Sema wanawalipa vizuri
Kwann hujui mkuu? Au wewe huwa haufatilii pambano lao?Labda sijui
Kumbe tupo wengi, dah Putin katuangusha sana katika vita hii.Mimi Mrussia wa huku Madongo kuinuka,niliambiwa vita ile Ukraine ingeisha ndani ya week tu.
Nilipona week imepita nikafa moyo juu ya ushindi.
Kusema kweli tunabisha tu ila yule Comedian asingeweza kujiamini vile kubaki Ukraine kwa ile Mikwara aisee.
Jamaa anakuja kuwa Man of the Match kama vile Suarez alichotufanya na Ghana ile 2010 WC.
Habari za kushupaza mishipa juu ya Russia zimenifanya nione aibu sasa kwa Jirani zangu Ukraine.
Putin the KGB aliniaminisha kuwa anaikaanga Ukraine kwa sekunde tu..anyway ngoja tusubiri silaha zilizobakia.
Sasa hivi Putin anaishi kwa stress maana anajua wakati wowote anaweza kusikia dude limetua juu ya nyumba yake na ikawa ndio mwisho wa maisha yake. Vigumu sana kushindana na Marekani maana wao (usa) wameshika kwenye mpini, afu Putin (russia) wameshika kwenye makali.Huyu putin kaingia cha kike. Kapanikishwa kaingia mzima mzima. Hapo ndio wengi wanapokosea. Bora angebaki na kuwa mbabe wa kuchongwa. Angestafu kwa heshima na angebaki kwenye historia nzuri ya kuogofya. Hivi sasa atastafu kama mwanamke mrembo tu
Hiyo ndio sababu ya kuanzisha CIA, lengo kubwa la kuanzisha kwake ilikuwa ni kwa ajili ya kulinda masilahi ya nchi nje ya mipaka yake, kusaka fursa za nchi nje ya mipaka yake na kusuka mbinu mbali mbali ambazo zitakuwa na tija pamoja na faida kwa taifa. So CIA wanalipwa vizuri kwa sababu ya kazi nzuri wanayoifanya kwa nchi yao. Hicho kitengo hakina kilaza hata mmoja.Ila tukiacha utani wakuu "USA ANA VICHWA VINAVYOSUKA SANA MIPANGO" aiseee
Yan USA si ajabu akatumia miaka 10 kukusaka uingie kwenye king yake na ukikaa hapo anashikalia hadi mwisho ko haitakuwa ajabu Putin akitolewa madarakan miaka inagokuja
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Tusiende mbali mkuu, soma kwanza hicho kipande hapo pichani. Putin atakufa kama Ghadafi akiwa kajificha mtaroni au pangoni. We ngoja utaona.Tuwe wakweli, Mrusi ana hali mbaya.
Ukraine anawaua sama Warusi.
Kuna makala nilifuatilia Warusi wamekimbia na kuacha mitambo na wengi wameuawa na mizoga inaokotwa sana na kuwekwe kwenye mifuko miusi.
Na papo hapo wanashusha bendera zao na kupandisha za Ukraine.
Sasa unapigwa na Ukraine bado unamtunishia kifua mamba mla watu US?
Tuache utani
Wafurumushwe kabisa.Tusiende mbali mkuu, soma kwanza hicho kipande hapo pichani. Putin atakufa kama Ghadafi akiwa kajificha mtaroni au pangoni. We ngoja utaona.
Pole sana kwa kuingizwa chaka na warusi mkuu. Sisi wenye uelewa tulijua tu kama ile mikwara ya urusi ilikuwa ni nguvu ya soda.Mimi ni team Putin, na hapo kabla ya kuivamia Ukraine nilikuwa naamini kwamba Russia chini ya Putin ina uwezo wa kuiangamiza nchi yeyote hapa duniani. Lkn sasa nimebadilisha imani yangu kwa Urusi, yan kusema ukweli hii vita imetuvua nguo vibaya sana. Kwa kupigwa na kanchi ambako hakafikii hata robo ya mkoa mmoja wa Russia.
Dah hii ni fedheha kubwa, Putin anatupa wakati mgumu kumtetea yeye na nchi yake huku mitaani.