Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

Lete clip Putin akisema hayo. Ninachojua ni kwamba Putin alisema yeyote atakayeisaidia Ukraine kwa namna yoyote ile basi atashambuliwa papo hapo.
Kijana anatumia njia nyingi kumtetea Putin na wakati sisi tunamjua huyo putin na Russia yake zaidi ya amjuavyo yeye.
 
Kijana anatumia njia nyingi kumtetea Putin na wakati sisi tunamjua huyo putin na Russia yake zaidi ya amjuavyo yeye.
Wewe upo buza unajifanya unamjua Putin?marekani akijaribu kuivunja Russia itakuwa mwisho wake yaani wataingia kwenye vita ya moja Kwa moja na Russia kitu ambacho kila siku huyo marekani wenu anasema hataki.yaani Kwa mawazo yako haya unajiita Akilihuru?Bora ungejiita akili ovyo.
 
Yaani nyie wote mnaosema Russia itavunjika nawasiwasi na uwezo wenu wa kufikiria.wengine mmeenda mbali mnasema Putin atauawa.Dah Elimu yetu sometime inazalisha watu ovyo sana.au hamuijui Russia nini?
 
Marekani ameshindwa kuangusha utawala wa NK anaweza Kwa warusi? ifike mahali watanzania tufikirie Kwa mapana Zaidi.kwa michango ya baadhi ya watu humu kuanzia Kwa mtoa mada nimeona tatizo la kufikiria Kwa mapana ni kubwa Sana.
 
we jemaa, silaha anazopewa ukraine na marekani sio silaha ndogo ni silaha nzito sana ndugu:

ukraine wamepewa M777 howitzer hii ni mitambo ya mabomu ya kipekee kabisa karne hii ya 21. Bomu lake moja gharama zake ni US$140,000!!!

wamepewa mitambo ya kutungulia ndege iitwayo MANPADS hii cost ya mtambo mmoja ni U.S.$38,000!!

hii ni mifano tu asee na gharama zake

Marekani imetumia gharama za trilion 3 za silaha kwa ukraine
na sio marekani pekee bali washirika wake wote

usibeze kabisa aina silaha anazopewa ukraine. Nyingine hata Mrusi mwenyewe hana.

PITIA HAPA UTAJIFUNZA KITU

Silaha Gani Russia Hana?
 
Aivunje mara ngapi? Ebu uliza kwanza ni nchi ngapi ambazo zilikuwa zinaunda umoja wa soviet, na leo zimebaki ngapi, pia ilikuaje zikagawinya na kujitoa?
 
Yaani nyie wote mnaosema Russia itavunjika nawasiwasi na uwezo wenu wa kufikiria.wengine mmeenda mbali mnasema Putin atauawa.Dah Elimu yetu sometime inazalisha watu ovyo sana.au hamuijui Russia nini?
Russia hakuna kitu pale. Kweli Russia ina nguvu lkn kwa baadhi ya nchi kama vile Belarus nk ila hana uwezo wa kupambana na nchi zenye uwezo mkubwa wa kijeshi kama USA au China.
 
Marekani ameshindwa kuangusha utawala wa NK anaweza Kwa warusi? ifike mahali watanzania tufikirie Kwa mapana Zaidi.kwa michango ya baadhi ya watu humu kuanzia Kwa mtoa mada nimeona tatizo la kufikiria Kwa mapana ni kubwa Sana.
Marekani hajashindwa kuiangusha NK, bali ameona pale hamna kitu ambacho anaweza kuchukua mfano dhahabu, almasi, petrol, gesi nk.

North Korea inashindwa hata kujilisha yenyewe, sasa Mmarekan atapata kitu gan cha maana kutoka kwao.

Laiti kungekuwa na mafuta kama vile Syria au Iraq saa hizi Marekan wangekuwa washaweka raisi wao kitambo sana.
 
Marekani hana muda wa kugfanya mabo ya kijinga hayo ambayo hata balozi wa Kenya anayaona kuwa ni ya kifala; yaani kuvamia ardhi ya nchi nyingine kuwa ni yao. Hayo mambo ya conquest yalifanywa na watu wa zamani akina Alexander the Great kwa kutumia mikuki na farasi, siyo ya dunia ya leo.
 
Aivunje mara ngapi? Ebu uliza kwanza ni nchi ngapi ambazo zilikuwa zinaunda umoja wa soviet, na leo zimebaki ngapi, pia ilikuaje zikagawinya na kujitoa?
Rais wa wakati huo wa urusi ndo alisababisha yote Yale ndo maana hata juzi alipozikwa hakupewa hiyo heshima.unaniaibisha Sana Kwa fikra hizo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…