Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

Anamuogopaje?
Anaogopa kutolewa rinda na hili dude
Screenshot_20221005-094926.jpg
 
Acha uongo mkuu! Putin alisema atakaye ingiza jeshi ukraine na sio atakaye msaidia ukraine.
We ndio muongo mkubwa

Ukraine kuna wanajeshi kutoka France , UK n.k

Ingia humu uone watu wako front line kutoka UK

IMG_20221005_151001.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20221005-150834.jpg
    Screenshot_20221005-150834.jpg
    49.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221005-150834.jpg
    Screenshot_20221005-150834.jpg
    49.4 KB · Views: 7
Mmarekani anamuogopa mrusi kuliko hata wewe unavyodhani.
Kabla ya Russia kuivamia Ukrean nakuunga mkono sana kwa sababu US alikuwa hajui mrussi ana nini., Lakini baade kidogo kwenye hii vita ama operation US akagundua kumbe jamaa ni mweupe sana, Putini alifungasha vifaru vya tokea Soviet na USSR msururu toka gongo la mboto hadi kariakoo, Amerika wakawa wanacheka sana kwamba kumbe jamaa silaha hizi ndio alijiandaa nazo kuvamia ukrean??

Jibu likawa rahisi US akatoa ile Javeline na Stinger ambayo unaweka begani unapiga kwa 16km, biashara ya vifaru kwa russia ikafa, akashindwa Kyiv na maeneo mengine sasa karudi Donbas anachezea HIMARS yaani US wanampiga russia kama mtoto mchanga, usishangae Zelensky akatawazwa kuwa rais wa Russia hapo baadae kidogo
 
Mimi Mrussia wa huku Madongo kuinuka,niliambiwa vita ile Ukraine ingeisha ndani ya week tu.
Nilipona week imepita nikafa moyo juu ya ushindi.
Kusema kweli tunabisha tu ila yule Comedian asingeweza kujiamini vile kubaki Ukraine kwa ile Mikwara aisee.
Jamaa anakuja kuwa Man of the Match kama vile Suarez alichotufanya na Ghana ile 2010 WC.
Habari za kushupaza mishipa juu ya Russia zimenifanya nione aibu sasa kwa Jirani zangu Ukraine.

Putin the KGB aliniaminisha kuwa anaikaanga Ukraine kwa sekunde tu..anyway ngoja tusubiri silaha zilizobakia.
 
hana alichobakiza zaidi ya nuklia..mavifaru yote yamekua majivu.
 
Inawezekana huu uvamizi wa Putin ukaanzisha uasi wa kimajimbo ndani ya Russia. Ni suala la muda.
hujamsikia mpambe wake yule kiongozi wa chechinia,amemshauri atumie tu nyuklia,ili mambo yasiwe mengi
 
Mimi sio shabiki wa Rusia wala wa Ukrain.
Ila nacho kumbuka Rusia alitangaza Oparation Ukrain ndani sijui ya week mbili sijui na kuaidi ataichukua miji ya Ukrain pamoja na Mji mkuu wa Kiev.

Ila sasa naona miezi sita sasa imekata na sijaona Mji wa Kiev ukichukuliwa.

Na bado mtu anakuwa Bishi kama Ng'onda
 
Mkuu hayo yote yanawezekana. Unaweza kuanzishwa uasi utakaofadhiliwa na Marekani.

Mwisho wa siku waasi hao watasema wanataka uhuru wao ili wawe nchi huru, mazungumzo yanafanyika waasi wanapewa uhuru wao marekani anakamilisha mission yake.
America is an evil country, we'll should stand firm to oppose the American neo colonialism agenda as far as world peace is corcerned.
 
hizo ndio polojo tuliokuwa tukiaminishwa toka tukiwa shule ya msingi, kuwa URUSI ni jitu kubwa na hatari sana kwenye medani za kivita, na dunia kuliamini kinachoonekana sasa hivi ni tofauti kabisa na uongo ule!! eti USA,ana muogopa sana URUSI,?! kama vi ji siraha hivyo vidogo tu kwa USA, ni kama manati tu ambavyo ana mpatia UKRAINE, tayari mbambe wa mchogo yupo hoi! Sasa akianza kutumia japo gobole itakuwaje?!
leo hii hata maeneo ambayo ameyatangaza kuwa sasa ni mali ya Urusi yameanza kuchukuliwa na UKRAINE. URUSI wakati vita inaanza alisema ole wake atakaye msaidia Ukraine naye atajumuishwa humo humo, nini kimemkuta USA?

"Fikiri kwanza is the most important thing" hayo ni maneno niliyo kuwa naambiwa na Mwalimu wangu wa Kihindi wa Physics nikiwa O-Level.

Kitu ambacho umesahau ni kwamba mpaka sasa Urusi hainjatangaza vita kamili inacho fanya ni specially operation sio vita kamili - Putin akitangaza vita kamili dhidi ya Ukraine Zelensky na jeshi lake halitachukua round kumbukeni vita vya jeshi la Urusi na:Chechenyena,Georgia na Syria nk, je kulitokea nini eventually tukiwekea maanani kwamba mataifa hayo yalikuwa yana saidiwa kijeshi na silaha nzito kutoka Merikani, sasa swali,je,walifakiwa kushinda jeshi la Urusi, jibu ni hapana - sasa ni kitu gani kinawapa imani kwamba mapigano ya Ukraine yatakuwa tofauti kidogo, FYI, kipigo kipo pale pale Putin bado afanya mahesabu makali ya kuwakata ngebe - Putin atawashangaza wengi.

Hapa naona umekazania kuisema Urusi kwamba si lolote si chochote kwenye medani za kivita kisa, Ukraine,yaani mnajifanya kusahau jinsi taifa kubwa lenye uwezo mkubwa kijeshi/silaha lilivyo vurumishwa na kudhalilishwa na kushindwa na wakulima wa mpunga wavaa sandals za kakata mbuga hilo hamlisemi, miaka miwili iliyo pita mambo kama hayo hayo ya VietNam yalijirudia tena huko Afghanistan Dunia nzima iliona kwenye luninga jinsi wanajeshi wa Kimerikani na Majenerali wao walivyo kuwa wanatimua mbio kwenda kupanda ndege za mizigo za jeshi la Merikani wakiogopa kipigo cha wanamgambo wa kitelabani walio kuwa wanasogerea airbase ya Kabul. Swali hapa ni: ilikuwaje tena taifa la Kimungu Mungu kuvurumishwa na kushindwa na wanamgambo wa KivietCong na baadae wajukuu wa Mulla Omari huko Afghanistani!!!
 
hizo ndio polojo tuliokuwa tukiaminishwa toka tukiwa shule ya msingi, kuwa URUSI ni jitu kubwa na hatari sana kwenye medani za kivita, na dunia kuliamini kinachoonekana sasa hivi ni tofauti kabisa na uongo ule!! eti USA,ana muogopa sana URUSI,?! kama vi ji siraha hivyo vidogo tu kwa USA, ni kama manati tu ambavyo ana mpatia UKRAINE, tayari mbambe wa mchogo yupo hoi! Sasa akianza kutumia japo gobole itakuwaje?!
leo hii hata maeneo ambayo ameyatangaza kuwa sasa ni mali ya Urusi yameanza kuchukuliwa na UKRAINE. URUSI wakati vita inaanza alisema ole wake atakaye msaidia Ukraine naye atajumuishwa humo humo, nini kimemkuta USA?
Vita bado na ikianza lasmi itapigwa kwa mda mfupi sana, huyu mzee msimchukulie pow kwa haya anayo yafanya kwa sasa,

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Upo na ugomvi na jamaa fulani... Ghafla kikundi cha huyo jamaa chote kipo kwako kinajaribu kuingilia ugomvi... Mwenye panga, jembe, kisu, nyundo, bunduki... Ili mradi wakudhuru.. tena ugomvi huo upo kwa huyo jamaa unayemtwanga.... sasa hapa sijui nani mwenye nguvu kati ya anayepigana peke yake ama yule anayetafuta usaidizi

NATO + EU vs RUSSIA (JESHI LA MTU MMOJA)
 
Mmarekani anamuogopa mrusi kuliko hata wewe unavyodhani.
na ndio maana aliionya Urusi isivamie Ukraine hapo mwez Feb , Urusi kwa ubabe wakea akasema anafanya mazoez tu hana mpango wa kuvamia , bas Urusi ilivyo na huruma na undugu ikaivamia ukraine mwez huo huo kwa kustukiza wakati kwa ubabe wao walikana hawatavamia Ukraine
 
Back
Top Bottom