Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine kumezuka mambo mengi yaliyokuwa hayakutarajiwa.Moja ya hilo ni kauli ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi kuwa Hitler alikuwa ni myahudi.
Israel imekuwa daima ikiomboleza kuuliwa kwa wayahudi katika vita vikuu vya pili vya dunia kwa watu wao wanaodai ni milioni 6 kulikofanywa na kiongozi wa nazi Adolf Hitler
Sergei Lavrov alitoa kauli hiyo siku ya Jumapili iliyopita katika mahojiano na kituo cha runinga cha Italy katika kipindi chake kinachoitwa Zona Bianca.Mtangazaji alimuuliza Sergei kwamba inakuwaje Urusi inasema inapigana na Ukraine ili kuondoa athari za wanazi wakati raisi wa nchi hiyo mwenyewe Vodolomy Zelensky ni myahudi.
Katika jibu lake akasema "I could be wrong, but Hitler also had Jewish blood. [That Zelensky is Jewish] means absolutely nothing. Wise Jewish people say that the most ardent anti-Semites are usually Jews."
Hii ingekuwa na maana kuwa watu wenye roho mbaya sana na wabaguzi wakubwa duniani ni wanazi jambo ambalo Israel inapingana nalo kwa sababu itakuwa na maana wayahudi kwa matendo na maamuzi yao huwa wanajiangamiza wenyewe.