Ndugu yangu nchi ya Ulaya yenye Wayahudi wengi kuliko nyingine Zote ni Ukraine. Ukiigusa Ukraine umeigusa Israel kama hukujua. Mpango uliokuwepo juu ya Ukraine huko mbeleni ni mkubwa kuliko unavyofikiri wewe.
Toka vita ianze waziri wa Israel ameshaenda Urusi mara 6, jiulize kwanini. Zelensky hakuwa Raisi pale Ukraine kwa bahati mbaya, ulikuwa mpango maalum na mahsusi. Baada ya miaka 20 Ukraine ingekuwa vizuri kiuchumi na kijeshi kuliko nchi yeyote ile Ulaya. Mpaka sasa tu walishaandaliwa vizuri sana, ndio maana mrusi akaona kuwa akichelewa amekwisha.
Lavrov hakusema kauli hiyo kawa bahati mbaya, alijiandaa vizuri sana na nyuma yake anaungwa mkono na wengi tu.