Urusi imeishika pabaya Israel kuhusiana na Unazi

mi nadhani marekani na wapambe wake nato ndiyo wanaotapatapa
kwan aliyeongea hayo maneno ni nan ? mkiitwa vichaa mnalalamika , jitahidi kuiweka akili yako kwenye mada husika , mada haimuhus mmarekan
 
kwan aliyeongea hayo maneno ni nan ? mkiitwa vichaa mnalalamika , jitahidi kuiweka akili yako kwenye mada husika , mada haimuhus mmarekan
acha kukurupuka soma upya
 
Uwelewa wako kwenye mambo haya ni mdogo sana. Ficha aibu yako.
Russia ana rasilimali nyingi mno kiasi hana shida na vijirasilimali hivyo vichache vya Ukraine. Tabia ya wizi anayo Marekani na wenzake wa Ulaya. Russia shida yake ni usalama. Hataki chokochoko za hao waliotapakaa damu za waafrika na waarabu. Ndio sababu amebembeleza sana ahakikishiwe usalama wake na hao mabwana zenu na wakampuuza. Hata alipowaambia Ukraine kujiunga NATO ni kuvuka mstari mwekundu walimpuuza na kuzidi kumchochea huyo kibaraka wao kujiunga nao.

Ama hao uliowataja kuwa wamejiunga NATO, jiulize wamejiunga kipindi gani? Kukusaidia,walijiunga wakati Russia akijitahidi kuponya majeraha ya kuvunjika umoja wa kisovieti. Hakuwa na nguvu za kupambana na hao wezi na wapenda damu wa magharibi. Na kosa kubwa walilolifanya wakuu wa ushoga,walidhani tayari wameimaliza Russia. Wakaidharau na kuipuuza. Kumbe Russia alikuwa akijipanga. Sasa muda umefika. Anasimama dhidi ya mabeberu 40 wakisaidiwa na UN,na bado anawakalisha. Sasa anaouwezo wa kuwazuia majirani zake waliobaki,wasikaribishe ushoga jirani yake

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kuchukua mali za Ukraine nayo katika hali kama hii haina ubaya kwani mali zake hizo amezitumia vibaya kutaka kudhuru majirani zake.Katika mpangilio wake wa vita Urusi dhidi ya Ukraine ni kwanza kuwaminya mpaka wakonde wasiwe na nguvu tena.Wameshanyang'anywa uchumi wa bluu wote mpaka juzi wametangaza wanafunga biashara za bandari zake zote.Kwa maana hata Bakhresa kwa sasa ajue asikubali kuingia makubaliano na kampuni ya meli yoyote iliyokuwa aliyokuwa akifanya biashara ya kumletea bidhaa zake Tanzania kwani itakuwa ni utapeli na Ukraine haitaki kesi tena.Wale wa Azovstali wamefungiwa kupokea chakula na maji na wanaachwa wakonde halafu Mrusi aingie mashimoni kirahisi kuwatoa nje. Kwa maana hiyo mbinu ya kupigana kiuchumi nayo ni hoja kwa mtu ambaye ni jeuri sana.
 
duh mshaanza kutunga stori mpya , stori za NATO hazina nguv tena ?


Wewe unashindwa kuunganisha dots ?!!😗, sasa angalia jambo hili:-
 
Jamaa kaongea ukweli wayahudi ni watu wenye laaana kubwa tokea enzi za Issa bin Maryam (Yesu) mijamaa ina roho mbaya sana ndio maana hakuna nchi iliowachukua na mpaka leo wanahangaika tu hawana ardhi, laana mbaya sana, Lavrov yuko sahihi kabisa
 
Jamaa kaongea ukweli wayahudi ni watu wenye laaana kubwa tokea enzi za Issa bin Maryam (Yesu) mijamaa ina roho mbaya sana ndio maana hakuna nchi iliowachukua na mpaka leo wanahangaika tu hawana ardhi, laana mbaya sana, Lavrov yuko sahihi kabisa
Wakipata wanakufuru ,hawatoi shukran na wakikosa pia hawatubu na wanalaani
 
Gadafi alijaribu yakamkuta.Lavrov kayavulia nguo na alijiandaa kuyaoga.Sasa tuone hicho kiburi chao na kulialia kila siku iwapo vitasaidia.
 
lete hoja ww yahud wa israel
Isome thd tena utaiona hoja ndani ya thd,huyo uliyekuja kumtetea anasema haoni hoja kwenye thd,haya ungana nae muanze kuitafuta hoja ya Sergio Lavrov.
 
Putin kawashtukia Waisraeli, kwani kupitia Zelensky walitaka kuifanya Ukraine kama Esraeli ya Ulaya.
Kabumbulusha deal lao kisawasawa, hawakujiandaa na plan B. Sasa hivi wakishirikiana na jamaa zao EU, Marekani na UN wanakurupuka na hatua mbalimbali ikiwa pamoja na Vikwazo vya kununua mafuta na Gas (hapa wamegawanyika sana) ya mrusi. Kuitoa Urusi katika Swift code(system ya malipo/kutuma pesa ya kimataifa), kaachana nao na kafuata idioloji ya Gadafi ya kuachana na Dola na Euro na sasa unapata bidhaa zake kwa Rubble-pesa yake moja kwa moja.

Leo Marekani kapandisha Riba kubwa haijawahi kutokea kwa kipindi cha miaka 22. Effect ya vita. Mengi yatakuja.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…