Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
wapalestina wanajiua wenyew kwa kuanzisha mashambuliz kama ambavyo Boko Harama na Al shabab wanavyowaponza waislamu wengine
Dunia imeweza kupumbazwa na kuamini kwamba wakifa wapalestina katika mashambulizi ni kama kafa SISIMIZI TU, Waafghanistani walikuwa ktk vita zikianzishwa na Marekani na kuuwa wananchihuko- kwa dunia ni sisimizi tu wanakufa huko, Vita huko Kongo watoto kwa wazee wanakufa ni kama wanyama wanakufa, sijakueleza huko Iraq, Syria, Somalia... listi unaweza kuijaza JF. Na hivi wiki iliyopita askari wa AU wameshambuliwa kiuoni kwao na wanajeshi zaidi ya 100 wamekufa ni sisimizi tu hao, husikii Sauti ya Dunia. Askari hao wangekuwa watunza amani wa UN wamekufa huko Ukraine Tungelazimishwan kila nchi iweke mlingoti NUSU.wapalestina wanajiua wenyew kwa kuanzisha mashambuliz kama ambavyo Boko Harama na Al shabab wanavyowaponza waislamu wengine